Search results

  1. Muhoka

    TAMWA imekufa baada ya mama Ananilea Nkya kumwachia uongozi Bi. Valerie Msoka?

    TAMWA ilikosa mwelekeo wakati wa uongozi wa huyu mama wa kichaga Bi. A. Nkya. Mama huyu alitumiwa kisiasa na CHADEMA kwa sababu ni mchaga,alitumia mwamvuli wa TAMWA kuisema Serikali huku akiijenga CHADEma "shame on you Mama".muache akafie mbele na mungu amlaani huyu mama atafulia milele.
  2. Muhoka

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Mnyika unazunguka sana,mpaka hivi sasa hujui kuandika CV.Usilete manene mengi we sema tu umesoma wapi, umesoma nini na lini.
  3. Muhoka

    MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    Safi sana,hawa watoto wanaburuzwa na Chadema, wacha wasage lami mitaani tuone kama CDM watawasaidia.ikishindikana warudi vijijini kwao wakalime.MASKINI CHADEMA IMEWAPONZA.
  4. Muhoka

    Mtei kasema UKWELI ULIOSHINDWA KUTAMKIKA, tuache unafiki!

    Huyu Mtei ana matatizo ya Udini pamoja na ukabila,kimsingi unapotaka kutoa tamko kama hili lazima ufanye utafiti kwanza kabla ya kuanza kulaumu.angeanzaza kutafuta data za uwiano wa kidini wa baraza la mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi,wakuu wa mikoa na viongozi wengine wote ambao...
  5. Muhoka

    Mkuu wa mkoa Arusha aagiza wachaga waondolewe

    Afadhali awahamishe, wachaga wakikaa sehemu sehemu moja wanakua na ubaguzi sana. Ni vizuri RAS awatawanye katika mikoa mengine, waende Sumbawanga,Lindi,Kigoma na sehemu nyingine za mbali wakajichanganye na makabila mengine.keepm it up Mkuu wa Mkoa.
  6. Muhoka

    Yuko wapi Nyerere?

    Nyerere ameshakufa na yopo motoni anateseka, fikra zake za kidikteta, ubaguzi,udini nazo zimekufa.
  7. Muhoka

    Aliko Tundu Antipas Lissu

    Hana lolote, ni kilaza wa kutupwa chuoni kwenyewe alipata PASS kwa kubebwabebwa.
  8. Muhoka

    Aliko Tundu Antipas Lissu

    Tangu afakamie ile chai na juice pale Bomani amepoteza direction kabisa, mambo ya kujifanya kimbelembele yamemponza na asipoangalia atakuwa kama Mwakyembe.
  9. Muhoka

    NEC ilichakachua matokeo 2010?

    kwa mtazamo wa kawaida Chadema hawewezi kupata 83% pemba na Cuf 1% labda CDm nao wawe wamejiingiza kwenye huu mtindo wa kuchakachua.
  10. Muhoka

    Dr. Slaa aingia Mbeya na kupokelewa na wananchi kwa hamasa kubwa!

    Jamani hivi Slaa ni nani? muhubiri injili, mwanaharakati au mwanasiasa. naomba msaada
  11. Muhoka

    Lowassa aponda nguvu ya umma

    Lowassa hafai kuwa rais,ni fisadi,mbinafsi, mbaguzi na dikteta. akipata urais atauwa upinzani,hakuatakuwa na uhuru wa habari,atawagawa watu kutokana na vipato na ukabila.ofisi zote za serikali zitajaa watu kutoka kanda ya kaskazini, na watoto wa wakulima wasahau kupata ajra yeyote serikalini.
  12. Muhoka

    Dkt. Mwakyembe mambo mazito: Ripoti ya ugonjwa wake yaivuruga Serikali

    Dk Mwakyembe asitegemee hata siku moja kwamba serikali itaiweka hadharani ripoti ya ugonjawa wake,mimi ninavydhani afya ya mtu ni suala binafsi,kwa mfano mtu anokuwa na HIV hivi ikijitangaza itakuwa ni kosa? namshauri aiweke wazi ugonjwa unaomsumbua pamoja na recommendation za madaktari ili...
  13. Muhoka

    TENDWA Hatukuelewi

    Kwa kweli Tendwa hajui analolifanya, kama hoja yake imeegemea kwenye gharama za uchaguzi na kunyimwa kwa haki za kuwakilishwa kwa wananchi hata Rostam alijiuzulu baada ya kuona anataka kufukuzwa ccm. kwa mtazamo wangu naona jambo hili linafanana kwa pande zote na hili la Hamadi Rashidi.
Back
Top Bottom