Naomba nitumie link ya app yao. Nilikuwa nayo nikaifuta by mistake
Kuhusu password naona bora ungewasiliana nao kwa whatsapp namba zao zimo humo kwenye app
Habari wakuu naomba mwenye kujua kuweza kulitatua hili tatizo la smart tv yangu ya tcl 55" kuonyesha vimstari vidogo kimlalo (horizontal)
Vimstari vipokwa chini na kidogo kwa kati je hili linaweza kusababishwa na hitilafu upande wa cable za umeme?
Una connect kupitia nini? Hotspot au? Maana nikibonyeza kwenye simu yangu smart view lazima uizime hotspot.. ikizima hotspot haijiunganishi na smart view.
Natumia hotspot kuunganisha na internet pamoja na T-cast ambayo inanipa option ya ku view files tu kutoka kwenye simu kama videos, audio na...
Mimi nina smart tv je kinaweza kufanya tv iwe ya android ina google playstore? Na ina internal gb ngapi nikitaka kudownload apps na vitu vingine?
Weka na picha..
Natumia TCL SMART TV 4K ina option ya T-cast tu haina screen mirror sasa kila nikijaribu nipate screen mirror ndio nafail hapo... nimejaribu smart view inazingua haiconnect sijui kama kuna njia nyengine tena?
Simu yangu inayo smart view lakini tatizo hai connect kupata screen mirror kwenye TCL SMART TV yangu mpaka nitumie option ya T-Cast ambayo haitoi screen mirror
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.