Search results

  1. M

    Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

    umenena mkuu.
  2. M

    Azam Tv vifurushi vyenu havieleweki

    kifurushi cha clouds plus kiilipoanza kilikuwa ni kama kinaoneshwa kama channel za nyumbani nyingine (nilivyoelewa mimi) ghafla msimu wa fiesta ulipoanza kikaanza kulipiwa kipekee - sh.3,000 ndio ukipate. Najaribu kuwaza mwenyewe, ndivyo kitakavyokuwa siku zote au msimu wa fiesta ukiisha...
  3. M

    HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yashusha riba kwa Benki kutoka 12% hadi 9%

    Tatizo nikichukulia waajiriwa, hakuna mtu anaweza kukukopesha lets say 10m kwa mapatano ya kumlipa kidogo kidogo kwa miaka mfano mitano kwa dhamana ya mshahara. Hapo ndipo wengi wetu tunajikuta tunaingia kwenye mitego ya benki ili walau tuweze kujikwamua kwa kujenga au kuanzisha biashara, etc...
  4. M

    Mgeni.

    KARIBU
  5. M

    TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na Mkewe Linah Mwakyembe

    kila nafsi itaonja mauti. mbele yake nyuma yetu. apumzike kwa amani.
  6. M

    Waziri Mkuu: Mitumba kuwa historia Tanzania

    kwa maoni yangu watuachie tu mitumba yetu. hizo nguo za viwandani nina hakika hazitakuwa na ubora na bei nafuu kama mitumba.
  7. M

    Waziri Mwakyembe: Serikali hairidhishwi na kampuni ya ubia kati ya TBC na Star Times

    Nakuunga mkono Mkuu. Hasa hapo kwenye local channels, tuliaminishwa kabla kwamba hizo zitakuwa bure lakini imekuwa kinyume.
  8. M

    William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

    kuna issues nyingine kwangu channel huwa hazikamati kabisa. naona chenga chenga tu.
  9. M

    Kero za mtandao wa Tigo

    kiukweli wanashangaza. wiki iliyopita nikiwa nimeshajiunga kifurushi cha chuo wakanitumia sms kwamba nimepokea sekunde 200 za kupiga mtandao wowote kwa saa 24 na kwamba nitalipa sh350 nitapoongeza salio. leo nimeongeza salio wamenikata 350/= !!!!!! ukipiga 100 inaita hadi unachoka.
  10. M

    Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

    mawazo mgando. ina maana kila unapomuona msichana mzuri mawazo yako yanakupeleka huko tu?
  11. M

    Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

    Mpaka kufikia hatua hiyo ya uchumba ina maana wazazi wa pande mbili zote wanayo taarifa ya mahusiano yenu. Inakuwaje kuja kuomba ushauri mtandaoni badala ya kuwashirikisha wao maana huko ndo ingekuwa sehemu muafaka. hayo ni maoni yangu tu mkuu.
  12. M

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    Nashangaa, taasisi kubwa kama ile.
  13. M

    Mzumbe University-Mbeya Campus hawapokeagi simu

    Hata main campus ni hivyo hivyo namba zao walizotoa kwa msaada nyingine zinaita bila kupokelewa na nyingine hazipatikani, sijui ni kwa nini.
Back
Top Bottom