Search results

  1. KIM KARDASH

    Hii dawa Remdesivir inaweza kusaidia kwa matibabu ya Corona

    Tony254, Dr. Anthony Fauci says Gilead's remdesivir will set a new 'standard of care' for coronavirus treatment
  2. KIM KARDASH

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Masturbation is a common activity. It’s a natural and safe way to explore your body, feel pleasure, and release built-up sexual tension. It occurs among people of all backgrounds, genders, and races. Despite the myths, there are actually no physically harmful side effects of masturbation...
  3. KIM KARDASH

    Kwa Diaspora CHADEMA damu

    A Anayeweza Kujua kwamba pesa za lissu zililiwa au laa ni mke wa Lissu tu
  4. KIM KARDASH

    Kwa Diaspora CHADEMA damu

    vipi kikao kilifanyika ?
  5. KIM KARDASH

    Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Zitto, Ushauri mzuri lkn hautekelezeki kwa nchi masikini kama Tanzania
  6. KIM KARDASH

    Kwa Diaspora CHADEMA damu

    Itapendeza kama tutaweza kutoka na platform nzuri na covenient kwa watu kuweza kuchangia,diaspora can do that i believe,we just need mobilization tu na ndio viongozi walichoomba,tufanye sisi wenyewe huku hiyo mobilization na mfumo mzima then tuwape wao feedback,na mtu wa kuwasiliana nae...
  7. KIM KARDASH

    Kwa Diaspora CHADEMA damu

    yes wewe sasa hapo hapo malawi tafuta wenzako wawili watatu mfanye mobilization
  8. KIM KARDASH

    Kwa Diaspora CHADEMA damu

    Naendelea kuchukua mawazo then nitaya wasilisha kunako husika,pasco lowassa nakushukuru sana mkuu,mwanakijiji wengi bado tuko pamoja kwenye tank la fikra ukiacha wenzetu kina kina makonda,bashe,kafulila na wengine waliopata teuzi mbalimbali
  9. KIM KARDASH

    Kwa Diaspora CHADEMA damu

    Watu mnaoipenda chadema mlio nje hususan Marekani mnatakiwa kukisaidia chama kwa kufanya fundraising kukisaidia chama kulekea kwenye uchaguzi, nilizungumza na kiongozi mmoja alinipigia akiniomba nisaidie kufanya mobilization jukumu ambalo kwangu peke yangu naona ni gumu ndio maana nimelileta...
  10. KIM KARDASH

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ukuu wa mkoa na ubunge ipi nafasi kubwa?a Anyways, JPM alisikia
  11. KIM KARDASH

    Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Kiranga, Ndio ustaarabu, kama marekani,rais hata kama kichaa nchi inaenda sababu urais ni taasisi kwa nchi zilizostaarabika,akishachagulia akaapishe wote mnapaswa kumheshimu mpaka Amalize muda wake
  12. KIM KARDASH

    Tume huru Ukawa wa kulaaniwa kwa kuikataa Katiba ya Warioba

    Lazaro Nyalandu . "Watanzania jitokezeni Twendeni tukadai katiba mpya,tume huru ya uchaguzi na demokrasia . Muda ni sasa hakuna kusubiri kesho" Too late
  13. KIM KARDASH

    Tume huru Ukawa wa kulaaniwa kwa kuikataa Katiba ya Warioba

    Hilo tungepata tume huru ya uchaguzi ukawa si wangeshinda bara na visiwani then wangeunda wanayoyataka? Busara haikua kuikataa katiba yenye tume huru,matokeo kuhojiwa mahakamani na rais kutangazwa baada ya kushindwa 50+%,ukiwa na mwiba makalioni na unyayoni busara inaelekeza utoe kwanza mwiba...
  14. KIM KARDASH

    Tume huru Ukawa wa kulaaniwa kwa kuikataa Katiba ya Warioba

    Swali fikirishi...hivi kwanini wapinzani ukawa waliikataa ile katiba ya bunge la mzee six sam sitta iliyokua na haya machache ya msingi atleast.... 1:Tume huru ya uchaguzi 2:Matokeo urais kuhojiwa mahakamani 3:Mgombea binafsi 4:Rais kutangazwa mshindi lazima apate 50+% ya kura zote za urais...
  15. KIM KARDASH

    Prof.Assad-Ukiwa na gari au nyumba una dhima ya kwenda hijja

    Uzi uko wapi sio wewe,wewe najua upo hapo
Back
Top Bottom