Search results

  1. A

    Lowassa amtoa kafara Pinda

    Tatizo ni pale ambapo huyu bwana nanihii anashindwa kujisahihisha mwenyewe na kuanza kumnyooshea vidole Pinda. Kwanza lazima tuone kwamba hatua zote alizochukua waziri mkuu wa kipindi hiko, jengo lilipo anguka changombe ndizo ambazo zimechukuliwa hapa. moja wapo kubwa ikiwa ni kufikishwa...
  2. A

    Lowassa amtoa kafara Pinda

    huyu si yule bwana nanii hiii ndio anaendeleza mipango yake. Kinachonipa shida hapa ni kwamba amejaribu kuipiga vita kilimo kwanza ameshindwa, amejaribu kupiga vita kila kitu ameonesha kushindwa sasa amehamia kwenye hili. swali langu kwake ni je! haoni kwamba watanzania sio wale wa zamani...
  3. A

    Wabunge waunganisha nguvu kutaka kumsulubu Pinda bungeni

    huyu si yule bwana nanii hiii ndio anaendeleza mipango yake. Kinachonipa shida hapa ni kwamba amejaribu kuipiga vita kilimo kwanza ameshindwa, amejaribu kupiga vita kila kitu ameonesha kushindwa sasa amehamia kwenye hili. swali langu kwake ni je! haoni kwamba watanzania sio wale wa zamani...
  4. A

    JF EXCLUSIVE: Sababu ya Kuachishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

    nashindwa kuelewa. Hivi tunashida gani sisi watanzania???? tuache kutetea ujinga hapa jamani. kosa la umeme kukatika bungeni peke yake linatosha kumfukuzisha mkurugenzi wa Tanesco. achana na hayo mambo mengine. Hivi kwani kabla ya mhando hakukua na wakurugenzi wengine????????? mbona umeme ulikua...
  5. A

    Maswali muhimu kwa Mizengo Pinda

    sasa wewe ndugu kama kweli unania ya kumuuliza Mtoto wa mkulima hayo maswali na kama kweli unania ya kujibiwa na huyu bwana hayo maswali unategemea atakujibu hapa????? kwanza sio member wa JF. Nalazimika kuamini kwamba unania nyingine na sio kuuliza hayo maswali na kujibiwa hayo maswali pole...
  6. A

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    AAAaaahhh mbona wazushi nyie. Mheshimiwa peke yake ndio yuko karibu na Waziri Mkuu. Kagame yuko nyumaaaaaaa, Museveni yuko pembeni ya JK mbali na Waziri mkuu. Jamani tuache majungu. Mnashusha hadhi ya hii JF. Badala ya kuwa home of great thinkers inakuwa home of gossipers. shame on you!
  7. A

    Maige: Pinda alipewa utemi katika wilaya zote za mkoa wa Shinyanga

    Bwana maige akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu, asema kuwa Mheshimiwa Pinda alipewa utemi katika wilaya zote za mkoa wa Shinyanga.
  8. A

    Nalipongeza gazeti la mwananchi

    Wana JF napenda kuchukua nafasi hii kulipongeza gazeti la mwananchi kwa kuwa gazeti la mfano katika siku za hivi karibuni. mfano wa kuigwa wa mwanachi kwa magazeti mengine. hivi karibuni kuna gazeti moja lilitangaza katika ukurasa wake wa kwanza juu ya kupanda kwa mishahara ya wabunge na siku...
  9. A

    Kwa Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda: Kitenisi kingine hicho, pangua!

    sasa ndugu tamisemi kuna waziri, na manaibu mawaziri wawili. Wote hao hawatoshi??? Bado afanye pm?? Ni sawa kweli? Tanzania itafika tunako taka iende kweli?? Kazi ya hao wote nini??? Kupanda vx na ac?? Namna hii mtamchosha pm na hataweza kufanya mambo ya maana kabisa kabisa. Kama ndivyo basi...
  10. A

    Leticia Nyerere: Manpower productivity inapotea kwa kutengeneza majungu katika mitandao

    Anaongea ukweli huyu mbunge wapika majungu ni wengi sana, wenye nia ya kuchafua viongozi mara utasoma mbowe kafanya nini, sijui slaa kupotoka, mara pinda sijui katupiwa kitenesi, mara zito hajasoma bajeti vizuri wengine watakwambia jk sijui kafanya nini lakini vyote vikiwa ni nia ya kuchafua na...
  11. A

    Mbowe atakiwa kuachana na siasa kabla ya 2015

    Mbowe hajawahi kuona chama chake kinapata kuungwa mkono kama kinavyoungwa mkono sasa hivi hivyo ndio maana anadhani anaweza kuchukua nchi 2015. Lakini tatizo ni sura na mtazamo wa watu juu ya chadema hivi leo unaosababishwa na kauli za baadhi ya viongozi wa chadema kama Nasari kusema kaskazini...
  12. A

    Kwa Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda: Kitenisi kingine hicho, pangua!

    Sasa kila kitu bungeni akiwa anajibu waziri mkuu mawaziri wengine wanakazi gani?? Hio ni kazi ya waziri wa fedha ndugu. Ndio maana suala la madeni ya nje na kila kitu anahusika yeye. Waziri mkuu huja kuongeza tu kama kuna ulazima. Au la, subiri PM's question and answers time. Sijui kama unania...
  13. A

    Pinda ashindana na Riziwan: Naye anajenga Tuangoma Live

    sasa kununua hekari mbili kuna mgongano gani wa maslahi? basi kama ni hivyo viongozi wote wa Tanzania kuanzia mwalimu na wengine wote wana mgongano wa maslahi kwa maana wote walimiliki hekari kadhaa. Tena mwalimu aliku na shamba kubwa tu..
  14. A

    Pinda ashindana na Riziwan: Naye anajenga Tuangoma Live

    mimi nashangaa sana nchi ya watu wenye uchochezi na majungu, ndio maana hatuendelei kwakweli, kipindi hiki ambacho kuna bajeti dodoma ungetarajia watu wajadili bajeti lakini badala yake watu wanajadili eti kiongozi kanunua heka mbili anashindana na mtoto wa kiongozi. hivi sisi watanzania...
  15. A

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    . kama wamehama ndio vizuri kuwataja sasa, lakini kwasababu ni watu wakubuni huta wataja.. Uanzishe biashara ya ku export majungu na uzushi, Labda hicho kitakusaidia lakini sio kazi unayoifanya sasa. la sivyo hizo ni POROJO, na tutazidharau na kuziacha hapa hapa
  16. A

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Hao watu wakaribu na hizo media unazijua wewe. ingekua vyema na habari za ukweli kama unge wataja majina hao watu unaosema wakaribu. ndio maana nasema huu ni uzushi tuu "DR" Huwezi kuacha kutoa majina na habari iliyo kamili na kusema eti kwasababu za usalama. iliniamini wataje majina. kwasababu...
  17. A

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    sasa wewe Tumbiri aka DR MAJUNGU uache uzushi na ushambenga na misemo yako ya taarabu. Hapa sio mahali pa mipasho ya upashkuna, ni mahali pa Great Thinkers ndugu. Tafuta mada nyingine nasio hio ya uzushi na upashkuna DR MAJUNGU wewe..
  18. A

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    wewe kweli tumbiri kweli kweli..., hio elimu yako kubwa ulioyo nayo haikusaidii kabisa.. huo ndio ushahidi uliotumwa uulete hapa na aliekutuma??? mwambie kuwa mipango yake imesha shindwa akakae tuu kwao hana lake hawezi kutudanganya kirahisi hivyo.. huu uzushi umeshindika mkuu njoo tuu na mada...
  19. A

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Tumekushtukia wewe umetumwa na EL. Unadhani unaweza kumsafisha EL kumtumia Pinda? Umekosea sana Mkuu. Unafanya kazi ambayo matokeo yake ni kinyume cha matarajio yako. Badala ya kumsafisha EL kutumia Pinda, ndio unazidi kumchafua. Wana JF embu tumlinganishe Pinda na EL kwenye suala la Utajiri wa...
Back
Top Bottom