Search results

  1. N

    Kwa hili Godbless Lema unakosea

    Ni kweli mapinduzi yanahitajika,anayeogopa ni wazi kua bado hajajitambua...There is no way mabadiliko ni lazima:disapointed:
  2. N

    Jamani nini mpango wa ccm na wakuu wa wilaya kuhusu katiba?

    jamani hili nalo linatutisha ,kuna ajenda gani ya siri kuhusu wakuu wa wilaya? au ndio matokeo ya kikao cha dharura kati ya Rais na wabunge wa ccm....
  3. N

    Tanzania na serikali inayoyeyuka

    Hii ndo Tanzania yetu jamani,sina hakika kama viongozi wazuri na wenye nia njema na nchi wamekwisha mpaka hawa waliopo wandelee kutesa kiasi hiki.Wamekua na dharau kwa sababu bado wanaendelea kuongoza kwa mazoea kwani kila mtu anaweza kuthibitisha,hivi wakati watu wanakufa kwa sababu ya mgomo wa...
Back
Top Bottom