Search results

  1. N

    Mwigulu, nilikuonya ukakataa sasa maji yako shingoni unanitafuta...

    Mwigulu ni kiongozi wa hovyo na watu wa Iramba ni watu makini hivyo hawezi kuendelea kuwa kiongozi wa watu makini wakati yeye ni mropokaji aliyekubuhu, hata katika mambo ya msingi lazima atoe matusi, leo bungeni akitaka kutoa matusi yake anabadilisha lugha anadhani watanzania hatujui lugha hana...
  2. N

    CHADEMA yashindwa kutoa maamuzi magumu

    Hata ungesemaje chadema pekee ndo limebaki tumaini linalowaamsha watanzania katika kujtetea haki zao hilo limedhihirishwa na wana mtwara kudai haki zao hadi serikali kunyoosha mikono juu. Uliza mafanikio yaliyopatikana mleba yalitokana na nini kama sio baada ya m4c ya dec, cdm songa mbele...
  3. N

    Chadema yajipanga kimajimbo kuchukua dola!

    BY NGONYA NM ndg yangu chadema ni chama makini kiasi kwamba nape na kundi lake hawalali kila siku wanakuja na jaribio la kukichafu cdm macho pa watu lakini matokeo yake wanachafuka wao na chama chao, mikakati mangula aliyoipanga kule iringa yakukichafu chadema iliishi kwenye aibu kubwa ya...
  4. N

    Chadema yajipanga kimajimbo kuchukua dola!

    ndg yangu chadema ni chama makini kiasi kwamba nape na kundi lake hawalali kila siku wanakuja na jaribio la kukichafu cdm macho pa watu lakini matokeo yake wanachafuka wao na chama chao, mikakati mangula aliyoipanga kule iringa yakukichafu chadema iliishi kwenye aibu kubwa ya mangula na uzee...
  5. N

    Chadema yajipanga kimajimbo kuchukua dola!

    ndg yangu chadema ni chama makini kiasi kwamba nape na kundi lake hawalali kila siku wanakuja na jaribio la kukichafu cdm macho pa watu lakini matokeo yake wanachafuka wao na chama chao, mikakati mangula aliyoipanga kule iringa yakukichafu chadema iliishi kwenye aibu kubwa ya mangula na uzee...
  6. N

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Kama mbunge alisema kuna watu wanaofadhili mgomo wa madaktari na mtotn wamkulima akasema serikal imeshalisikia hlo nauchunguzi unafanyika kubain hilo, kisha usiku Dr ulimboka akatekwa! nakwamaneno yake dr ulimboka anasema walipokuwa wanamsulubu walimuuliza tuambie ninani aliye nyuma yamgomo huu...
  7. N

    CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

    hakika ujumbe huu umenitisha sana kwan ni wiki moja imepita toka comred Membe azungumze mambo yanayofanana na ujumbe huu alisema"Chadema mmekubalika hd vijijin jambo linaloonyesha mtashka dola 2015 akashauri MSIKUBALI KUUNDA SERIKALI YAMSETO NIMATESO kwahli chama changu tuzidishe umakini
  8. N

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    kijana mdogo kama wewe kushabikia kijana mwenzako kuvuliwa ubunge kwamatakwa ya walafi wachache ni umbumbu wa hali ya juu, genetically u a born mentally fit but coz of nurture u a now profound watch out Nape ma young.
  9. N

    Lowassa aamua kuingilia kati Arumeru

    Baada ya kuona jahazi linaelekea kuzama hatimaye mh lowassa ameamua kuingilia kati,habari za kuaminika zinasema kwamba yupo kwenye mazungumzo mazito na wazee wa kimila wa arumeru(washili)nyumbani kwake monduli.hii ni ktk kuweka mazingira sawa. Ushauri kwa washili simamen ktk majukumu yenu...
  10. N

    Pamoja na siasa chafu na rushwa tutashinda Arumeru Mashariki Lema (mb)

    hakika mh lema Mungu akiwa upande we2 hakuna aliye juu yetu kama uliwezakuzuia tifu lajana mwambie huyo mzinz wa ccm ar ud dar kwan meru sio igunga hawanajinsi yakuwadanganya wameru wote niwasomi hawana shda na vihela vyao wanahtaji m2 makini wakuwawakilisha
  11. N

    TBC na vyama vya upinzani, nini kinaendelea?

    kati ya watu hovyo ni wewe. Badala yakujadili maswala unajadili mtu? Shame on u. Mada hapa niuwiano sawa kwa vyama vyote ww unazungumzia mke wa mtu? Huwez kuwa great thinker hata cku moja. Ccm inaona kama ina hati milik na hi nchi ndo maana umekumbatia majengo viwanja ambavyo kabla ya vyama ving...
  12. N

    Mgogoro mkubwa Arusha Chadema waendelea kufukuzana

    ndg yangu nanyora natambua uwajibikaji wako ktk kuimarisha chama chetu. Nimeshashauri na sasa nashaur tena eneo lamorombo msiliache bila kufungua matawi nieneo muhmu sana kwan ongezeko la watu nikubwa sana karibu morombo tukijenge chama Kazinjema nsuri!
  13. N

    NAPE ivi inakuaje uzungumzie posho na madokta wakti chama chako ndo serikali?

    Nape plz we are tired with this corrupt system of u a part ccm is no longer alive! It is a died body no one wil ask died body blood, doing that it wil show some problem with thinking capacity. Ikulu itudanganye bdo haijaidhinishwa posho ya mampz, mtoto watajiri atudanganye, makinda atufafanulie...
  14. N

    Ushauri kwa madaktari: Mkoloni alitumia "divide and rule" kuweni macho

    Salaam wana jf. Naomba kuwasilisha kwenu mada hyo iliyoko kwenye mfumo wa ushauri. Utawala wa mkolon ulitumia mbinu ya " wagawe kisha uwatawale" kwa mazungumzo ya mtoto wa mkulima na serikal yake anataka kuwagawa madaktar kisha awatawale. Ndg zangu wanataalum lolote mtakalofanya bila kwaumoja...
  15. N

    Viongoz wetu wasivyojali.

    Salaam wana jf. Naomb kuwasilisha kwenu mada ya viongoz wa serikali yetu wasivyowajali wananchi waliowaweka madarakani ili wawatumikie. Ndg zangu mkuu wakaya tumemuona kweny tv akifurahia nakucheka kama kawaida yake hko Davos naviongoz wenzake. Aliondoka nchin tayar mgomo wa madaktar una siku...
  16. N

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    Tunaposema jf ni ya magreat thinker mkuu umeonyesha kwa vitendo hlo nakupongeza kwa uchambuz mzur ambao umeonyesha uhalisia Wa CHADEMA nawapongeza pia viongoz we2 ninachoshaur hzo changamoto wazifanyie kaz mfano badala yakuwa na mabaloz wa nyumb kumi sisi tunaweza kuwa nayetu yanyumba ishirini...
  17. N

    Wana CCM 1,000, Wenyeviti wa Vitongoji Arumeru Wahamia Chadema

    Mungu ibari chadema mungu wabariki wote wenye mapenzi mema na chadema
  18. N

    Mgombea wa Nafasi ya uwakilishi kwa Chadema kurudisha fomu leo kwa Maandamano Makubwa

    Nawatakia Makamanda wote wa zanzibar mshikamano wa hali ya juu kuanzia kampen kuhesabu kura nakutangaza mshndi kwan kwataarifa nilizozipata NEC kwa upand wa bara wanaangalia nguvu ya shinikizo iko upande upi ndo wanatangaza mshndi mf. Arusha walitaka kumtangaza batilda nguvu yauma ikawataka...
  19. N

    Madaktari Waamua Kutangaza Mgomo Rasmi Kuanzia Kesho tarehe 24/01/2012

    Vyuo vikuu wakigoma ni CHADEMA NA Hili la madactari nalo ni CHADEMA? Muda wamaneno yadanganya toto yamepitwa na wakati serikali kutokuwa serious namambo yataaluma za watu nakuweka mkazo kwenye wanasiasa tabia hyo ikome kabisa WANAOJIDAI KUBEZA NGUVU YA UMA NGOJA WAONE INAVYOFANYAKAZI. Kama...
  20. N

    Hii sawa?

    kubishana nawe nikupoteza muda. Shida yako huelewi tofaut ya ziara ya serikal na ziara ya chama. Makam wa rais alienda kwa ziara ya serikal akapeperusha bender ya nch sio yachama nawaliokuwepo uwanjan sio wanachama wachama fulan niwananchi. Kama hawa viongoz watashndwa kutenganisha kofia zao...
Back
Top Bottom