Nondo
Hapa kumbuka unaongelea jeshi. Hiyo ni amri na hakuna kuibatilisha. Vijana walijisahau kuwa wako jeshini,walifikili wako shule au vyuo. Huwezi kuleta mgomo jeshini halafu ionekane sawa! Jeshini hakuna kuangalia nini ulifanya siku za nyuma. Amri itokayo mwisho ndo uitii. Waache warudi...
Hawa dawa yao namba muhula ujao aimarishe shule za serikali ziweze ushindani ili hawa jamaa shule zao wasome watoto wao. Serikali inao uwezo kabisa wa luboresha shule zake zikaweza ushindani halafu sasa tuwaone na dharau zao.
Huko Mwanza jamaa wanajiona wako sayari tofauti na Dunia,wana mbwembwe za jirani na Uganda. Na kweli uko sawa,wakatoliki hata hawana shobo,wao wako kiacademic zaidi,jamaa hawa wako kuwa wa kwanza,mtoto wa darasa la saba. anafundishwa hadi sylubaa ya form one
Nalo neno
Sema kwa sasa sio rahisi,ila kwa next year hawa tutawaachia shile lao wasomeshe watoto wao.
Maana hata kuangalia kuweka ahueni ya kulipa kwa phase hawaelewi na ni lazima ulipe yote ndo mtoto apokelewe.
Ujue hii ni business sawa na biashara ya basi
Mimi abiria nalipa nauli kwa safari. Wewe mwenye basi una wafanyakazi wako,kama safari imeahirishwa mimi msafiri nauli yangu haitumiki na itatumika tu pale safari itafanyika. Sasa kama safari imesogezwa mbele miezi mitatu mie msafiri nahusika vipi na...
Shule ya wababe hatari
Ngoja tujipange tu kutafuta shule za wenye lugha za biashara na concideration. Maana wao MUSABE tu ndo corona wanaitumia kama ngazi ya kuongeza kipato chao
Kweli hili ni balaa,hakafu ukipiga simu kwa muhasibu anavyojibu ndo unachoka kabisaa eti hiyo ni balance ya wakati watoto walikuwa nyumbani!
Upuuzi kabisa.
Sio kulalamika,shule zilifungwa ikiwa imebaki kama wiki shule zifungwe,watoto walapewa invoice kama kawaida,shule zinafunguliwa wazazi wanatumiwa ongezeko la 300,000 toka invoice waliyopewa watoto! Hiyo ni nini kama sio uhuni? Kuchelewa kufungua kunafanya ada ipande?
Uhuni mtupu wanafanyiwa na...
Itakuwa maajabu sana,sijui tunahitaji aina gani ya wabunge...Masele ana misimamo,anasimamia anachokiamini haburuziki sio muumini wa kugonga meza,sasa mbunge wa aina hii kama hatakiwi ni aina ipi tunaihitaji?
Hii shule wahuni sana,wakiulizwa ada imepanda kiaje wanadai masaa yameongezeka! Kinachonishangaza ni hivi ada ya shule hii inalipwa kwa siku au kwa mihura? Na kama waziri mwenye dhamana katangaza hadharani kuwa ada zisipande na wazazi walipewa ada iliyokuwa ikitakiwa kulipwa muhura ambao...
Ukiangalia hii hoja inatolewa zaidi na wanufaika..." Tutamlazimisha atake asitake...."
Hapo mtu unaweka nukta,unaelewa hii hoja sio majaribio bali ilshafanyiwa kazi bado endorsement tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.