Umeweka vizuri. Sijawahi kuelewa kwanini kuna watu wanahoji au wanatamani ulinzi wa rais uwe mdogo au mwepesi. Huwa sielewi hasa malengo ya fikra hizo kwa kweli.
Nimekusogezea kabisa hapa [emoji116]
“The U.S. market debut, which targets primary and secondary market sources (USA, UK, Germany, Italy, France and Spain, Netherland, Canada and Australia respectively) will be followed by two other similar launch events in Dar es Salaam (April 28) and Zanzibar...
Mkubwa maliedo usiuzike. JF ni sehemu ya kujielimisha kwa maarifa na taarifa. Ukisoma vizuri hapo kwenye para ya pili nimejaribu kueleza kwa kadri ya uelewa wangu, kwanini inazinduliwa (kwanza) US (New York na Los Angeles). It’s all about business mindsets mkubwa. Soma first and second lines na...
Asante Kamaradi. Obligado camarada, gracias camarada. Siempre para jamás, for ever and ever United Republic of Tanzania, the land of Zanzibar, Kilimanjaro and Serengeti.
Chief Pascal Mayalla, napokea hayo kuwa ni compliments kutoka kwa kaka mkubwa na senior. Asante. Kila mwenye kuweza kusogeza mchanga au jiwe au hiki au kile, afanye hivyo, tujenge ustawi wa JMT ambayo ni moja tu!
Asante mkubwa. Pamoja. Kabisa. Umenena kitume, kwa ajili ya taifa na nchi yetu. Kuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania moja tu. Tunao wajibu wa kutimiza.
Mkuu sijapotea…ndo kama hivi tupo hapa kwenye jamvi letu na wanabodi kama wewe [emoji851]! Viti gani tena hivyo mkuu unanishtua! Asante sana. Iwe heri sana na kwako pia.
Mamlaka zimeshasema zinachunguza tuhuma na madai ya tukio hilo la kusikitisha. Wakati tukisubiria hatua zinazoendelea, ni vyema kutokubali kuwa swayed na hizo allegations kwenye agenda zenye maslahi ya taifa.
Mkuu nilidhani labda utatafuta mahali pa Kichina au Kikorea au Kijapani au Kimalaysia au Kisingapore…maana hilo jina lako pia si la Kiswahili [emoji16][emoji1783][emoji851]🫣[emoji2960]
WHAT IS TANZANIA: THE ROYAL TOUR?
It is a much-anticipated television program recorded in Tanzania between August 2021 and early September 2021, which is scheduled to be officially launched in April 2022, starting with the U.S. market in New York (April 18) and Los Angeles (April 21).
The U.S...
Hapana! Hakina ushari. Kimetumia tu maneno haya haya tunayoyatumia kila siku, ila tu tutajitahidi kuyaweka kwa lugha ya kibeberu [emoji16]! Unless iwe tu kwamba ule msemo wa ‘the pen is mightier than…”
Chief Pasco
Sina uhakika watu wangapi wanajua kuwa nikiwasiliana na wewe ni muhimu nitangulize neno ‘Chief’ as a respect to seniority in the profession.
Asante sana kwa ukaribisho kutoka kwako mwanabodi mzoefu na mwandamizi sana hapa. Ni kweli niliandimika kwa kuandika, lakini si kusoma...
Hongera sana. Kila la heri. Nitajialika kuwa mmojawapo wa wahariri [emoji1783][emoji1783]! Sijui nitasaidia kitu hapo with experiences from the field [emoji2960][emoji87]
Naweza kujaribu kukutumia PDF ya Fixing Failed States. Hiyo ninayo. Ni kati ya vitabu vilivyonilazimisha kusoma soft copies. Sipendelei sana na kimsingi zinanipatia ugumu kiasi fulani.
Napenda hard copies sana. Nikishindwa hapa muda huu naweza kukutumia mapema asubuhi. Unipatie njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.