Search results

  1. Tetty

    CHADEMA Tuliwauliza, Je Kuna nini kimebadilika mpaka Mmeamua Kushiriki Chaguzi Ndogo?

    Kwanini nisiende nikamuona Dr.Pale Magogoni?Maana nahitaji kwenda kumwambia Chuki,Visasi na Ubaguzi vinalipeleka Taifa siko
  2. Tetty

    Kwanini CHADEMA haikuchagua wawakilishi kwenda kudai karatasi za utambulisho?

    Pole sana,watu hawakunyimwa forms,hakukuwa na polisi wa kuua watu bali UVCCM waliowekwa na baadhi ya wabunge wa CCM. Pamoja na mapungufu ya mwaka 2015,lakini ya sasa yamewavua nguo,na ukumbue mwaka 2015 99% ya wakurugenzi walikuwa professionals siyo MAKADA wa UVCCM. Pole sana nilitegemea...
  3. Tetty

    CHADEMA Tuliwauliza, Je Kuna nini kimebadilika mpaka Mmeamua Kushiriki Chaguzi Ndogo?

    Pole sana.Ninakuone huruma maana kwa sasa CCM iko uchi kabisa.Mbaya zaidi wenye akili ndani ya CCM ni hawa: "Serikali ya chama changu @ccm_tanzania haiwezi kukwepa lawama kwa namna yoyote ile kufuatia kupigwa risasi kwa binti ambaye hakuwa na hatia hata kidogo. Nimeshindwa kula, kulala nafsi...
  4. Tetty

    CHADEMA wazungumza na Wanahabari kuhusu Mwanafunzi aliyeuawa na jinsi Mbowe anavyotafutwa na Polisi

    Pole sana,tena pole kweli maana mnywa damu haiishi kunywa ya mtoto wa jirani kuna siku atakunywa ya mtoto wake mwenyewe. Watu kama nyie ni wa kudharau kama alivyodharauliwa 'Mnyeti'
  5. Tetty

    Kwanini CHADEMA haikuchagua wawakilishi kwenda kudai karatasi za utambulisho?

    Nani alikwambia?Mbowe ndiye aliyeenda kuzichukua mlikuwa wapi msizitoe mapema?Hata kama unakipenda hicho chama cha mauaji lakini ikifika mahali wamekosea wasahihishe,hakuna Nchi ya CCM,Tanzania yetu sote pamoja na wanachama wa vyama vya siasa au wasio na vyama vya siasa. CCM uuaji jadi...
  6. Tetty

    Kwanini CHADEMA haikuchagua wawakilishi kwenda kudai karatasi za utambulisho?

    Unauhakika hawakwenda?Au mliamua kuweka masikio kwa Pamba?Mahaba yamezidi kwa CCM uongozi wa Chadema ulifuatilia sana sana form lakini Kada wa CCM alikataa kutoa,na hata hiyo siku ya mwisho hakutoa zote.Ni aibu sana kama NEC ilishindwa kuingilia kwa maana walijua CHADEMA watakasirika halafu...
  7. Tetty

    Kwanini CHADEMA haikuchagua wawakilishi kwenda kudai karatasi za utambulisho?

    Hongereni kushinda kwa kishindo,hakika uchaguzi ulikuwa huru na haki. Chama Cha Mauaji hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  8. Tetty

    Kwanini CHADEMA haikuchagua wawakilishi kwenda kudai karatasi za utambulisho?

    Ukiwa unaoga hakikisha umefunga mlango.Safari hii mekutwa utupu,chutameni tu
  9. Tetty

    Risasi zilizolenga daladala la Mabibo-Makumbusho zingeenda kutua hapa, nani aliagiza haya?

    Tunawashikilia Askari 6 ambao wametumia Silaha za moto katika Uchaguzi huu mdogo,"-Mambosasa. #MillardAyoUPDATES "Tendo lililompata Binti ni la bahati mbaya sana, kwani wale Wawili waliojeruhiwa walikuwa eneo la tukio,"-Kamanda Mambosasa #MillardAyoUPDATES Kuna mtu alisema na...
  10. Tetty

    Risasi zilizolenga daladala la Mabibo-Makumbusho zingeenda kutua hapa, nani aliagiza haya?

    Kabisa kabisa,jamaa nilikatili hata lisura lake linaonyesha
  11. Tetty

    Risasi zilizolenga daladala la Mabibo-Makumbusho zingeenda kutua hapa, nani aliagiza haya?

    Kwa sababu 90% ya wanasiasa wa CCM wanashiriki mno ushirikina ndiyo sababu damu za RAIA wasio na hatia haziwaumi
  12. Tetty

    Risasi zilizolenga daladala la Mabibo-Makumbusho zingeenda kutua hapa, nani aliagiza haya?

    Tunawashikilia Askari 6 ambao wametumia Silaha za moto katika Uchaguzi huu mdogo,"-Mambosasa. #MillardAyoUPDATES "Tendo lililompata Binti ni la bahati mbaya sana, kwani wale Wawili waliojeruhiwa walikuwa eneo la tukio,"-Kamanda Mambosasa #MillardAyoUPDATES Kuna mtu alisema na...
  13. Tetty

    Kampuni ya ACACIA ipo kwenye Mazungumzo na Kampuni ya Kichina ili iwauzie Mali/hisa zake zilizopo Tanzania

    Naona washakatiwa MOYO kwatu hakutakuwa na mchanga wala machikichia
  14. Tetty

    Tume ya uchaguzi punguzeni wabunge na madiwani viti maalum wa CHADEMA

    Utakuja kuyaona haya.Maana kwa ushindi uliowaacha uchi nisingetegeea kukuona na huu upumbavu
  15. Tetty

    Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

    Wafute mpaka hicho Chama Cha mauaji kujali hakuna Chama chochote cha Siasa.Tuwaite wakoloni warudi kututawala
  16. Tetty

    Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

    Kuna nafasi za uteuzi zimebaki ?.Hata wakati wa JKN walikuwepo wapumbavu kama nyie waliowashabikia wakoloni weupe,sioni tofauti na wewe unayeshabikia wakoloni weusi.Tofauti yenu ni rangi tu tabia zenu Nafuu ya wakoloni weupe
  17. Tetty

    CHADEMA Tuliwauliza, Je Kuna nini kimebadilika mpaka Mmeamua Kushiriki Chaguzi Ndogo?

    Walitaka kuwaonyesha wapuuzi kama nyie kwanini walisusia Uchaguzi.Na mmeona jinsi CCM ilivyovuliwa NGUO.Rafiki ukivuliwa nguo Chutama.Chama Cha Mauaji
  18. Tetty

    Kutoka CHADEMA nguvu ya umma hadi CHADEMA nguvu ya Mange

    Hahahahahah wewe iliyekimbia mpaka kupiga kura.
  19. Tetty

    Kutoka CHADEMA nguvu ya umma hadi CHADEMA nguvu ya Mange

    CCM kutoka Chama Cha Siasa mpaka Chama Cha Mauaji,shame on you
Back
Top Bottom