Search results

  1. K

    Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Tunasema...

    Sio kweli hats kidogo kwamba Gwajima anavunja amri ya sita na Frola Mbasha.... Cha msingi mbasha amebaka full stop..... Haya mengine kujinasua tu.
  2. K

    Mchungaji Katunzi Kurithi Mirathi ya Mzee Kulola kinguvu ilhali mjane wa Askof Kulola bado yupo

    Hahahahahaha! Sidhani kama Katunzi anazitaka mali za Familia kwa style ya kukomaa na wosia!. Mimi nijuavyo Wosia huwa halali baada ya Muandika wosia huo na msimamizi wa Kisheria ni Aliyemtaka yeye kukubali kusimamia!..... Je tujiulize Katunzi ni msimamizi au ni mrithi wa Mirathi hii...
  3. K

    Mchungaji Katunzi Kurithi Mirathi ya Mzee Kulola kinguvu ilhali mjane wa Askof Kulola bado yupo

    Hawa watoto wa Marehemu Askofu Mkuu wa EAGT wako kwenye Makundi mawili kutokana na Msimamo wa wosia alioacha Baba yao Mzazi yaani wako wanaoukubali na wengine wanaoukataa. Kwanza kabisa turudi kwenye Historia ya Marehemu Askofu Mkuu Moses S. Kulola hasa wakati wa Mwisho wa Uhai wake...
  4. K

    Live on TBC: Hotuba ya Rais Kikwete kwa Taifa kufunga mwaka 2012

    Mbona Rais Kikwete Mtu safi na Mchapa kazi kwelikweli au wewe uoni katika Misiba na Dhifa mbalimbali.
  5. K

    Usultani wa wagombea urais wa kudumu tanzania

    Dkt: Slaa ndiye Rais ajaye!.
  6. K

    Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

    Mama Kiuno chako kitumie kuokoa Taifa!
  7. K

    SIFA: Makamu wa Rais awe na STASHADA YA USHONAJI

    Kuna ka Choo ka Matairi ya Gari nitamuita aje akafungue! Maana angalia Mfuko ulivyotuna nadhani kanafunguo Mfukoni
  8. K

    Mh. Mramba usikubali

    Rais wetu ni Msanii na Hana lolote analofanya! Mramba anakula Bata safi tu!
  9. K

    Kuvuja mitihani ya Form four kila mwaka NECTA na waziri wa elimu wajiuzulu!

    1: Rais Mwizi Fisadi. 2: Waziri Mkuu kapoteza Imani Bungeni. 3: Waziri wa Elimu ana Undugu na Rais. 4: Chama cha Walimu Kinaidai Serikali. 5: Polisi wanolinda Mtihani Mshahara Mdogo. Unataka Ndalichako afanye nini na Necta yake kama si kumuonea huruma kwani hata hapo alipofika kajitahidi...
  10. K

    Nimejivua Gamba Rasmi

    Kudadadeki.
  11. K

    Makamu wa Rais ana kazi gani?

    Muungano ni Kiunganishi kati ya Tanganyika na Zanzibari hivyo Nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ni Moja kati ya Dawa ya Maumivu kwa kuwatuliza Wazanzibari katika Muungano. Aidha kwa Zanzibari pia Makamu wa Kwanza wa Rais ni Dawa ya Maumivu kwa Chama kikuu cha Upinzani kwani nao...
  12. K

    Jeshi la Wokovu (Salvation Army): Ni kina nani na wanafanya nini?

    Jeshi la Wokovu! Hawa ni wamishenari toka Ughaibuni ila kwa hapa Tanzania waweza kufika Makao Makuu yao Kurasini mkabala na Kikosi cha Mgulani JKT Barabara Kilwa. Ukitokea Kariakoo au Posta au Mbagala unashuka kituo cha Salvation Army.
  13. K

    First Lady umesahau ulikotoka?

    Walimu ni Pumbavu sana Maana kama nafasi Miaka mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu wanapewa shavu la ajabu sana nalo ni Kusimamia Uchaguzi je Mmeweza kuthubutu au ndo Mnakumbuka Shuka Saa Mbili asubuhi. Kudadadeki zenu Walimu! Mimi naona sawa tu kwani sijaona watu Mazoba kama ninyi maana Akili zenu...
  14. K

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    Acheni Kuminya Wanajamii kumbukeni ni Nyegez zilimfikisha hapo alipo! Maana huwezi kuchukua Kila Demu Mzuri wengine Balaa. Mkataa Pema siku zote Pabaya panamuita! Na Dawa ya Jeuri ni Kusudi. Nenda Kanumba ukutunate na Hukumu ya Mungu sisi wanadamu tusioijua maana nasi tunakuja but umeacha...
Back
Top Bottom