Search results

  1. M

    Updates: Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa Taifa

    Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao. Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM. Ni makao makuu...
  2. M

    Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

    Sitakujibu maana unauliza kwa kunijaribu Kwa akili yako ya kawaida tu kulikuwa na uchaguzi 2020? Au unazungumzia uharamia wa Rafiki yako aliyetangulia mbele ya haki?
  3. M

    Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano tarehe 8 March ikiwa ni kilele Cha Siku ya Wanawake Duniani. Macho na masikio ya Watanzania leo yanaelekezwa katika mji maarufu wa Moshi mkoani Kilimanjaro. Chama kikuu Cha Chadema chenye wafuasi takribani Milioni 10 nchini kupitia Baraza lake la Wanawake...
  4. M

    Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano, Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
  5. M

    Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  6. M

    Ufisadi bodi ya korosho, fedha zamwagwa kwenye akaunt za waandishi wa habari kulinda madudu ya mkurugenzi

    Wapangwa kuzunguka mkoa nzima kutengeneza habari za kumsifu Salam Wana Jamvi.. Wiki kadhaa toka ripoti kuhusu pembejeo feki zikiwa zinamwagwa Kama njugu huko Mtwara kuzima skendo hiyo na kuzuia madudu mengi zaidi yasiibuliwe hasa kuelekea msimu huu wa korosho.. Fedha zinamwagwa kwa waandishi...
  7. M

    Chadema Arusha yazindua Join the Chain Ambassadors kwa mafanikio makubwa

    Kazi nzuri Sana Mwenyekiti Nanyaro na Team yako yote. Chadema Arusha inazidi kujikita na Wananchi tunawaunga mkono sana
  8. M

    Mtwara PCCB don't be overwhelmed by the Principal of Mtawanya College FDC

    Mtwara Municipal. The Principle of Mtawanya FDC Development College known as Halfan Mshana has so far been accused of embezzling Government funds for the Mtawanya Project For Capacity Building to the students. He has prepared a letter which he, himself has signed to approve Tsh. 20, 350,000...
  9. M

    Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
  10. M

    Zanzibar: Rais Samia alikutana na Viongozi wa ACT Wazalendo kwa mazungumzo

    Katika Hali ya kushangaza Chama Cha ACT Wazalendo kupitia Makamo wa Rais Zanzibar kimefichua kupata mwaliko wa kuonana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri Samia Suluhu Hassan.Hayo yamefanyika huku Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi na wakuu wa Serikali...
  11. M

    Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

    Hujui Social Media ndiyo inaongoza Dunia Sasa hivi
  12. M

    Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

    Pole kwa kutokujitambua.Kwa Neema ya Mungu iko siku utafunuliwa
Back
Top Bottom