Search results

  1. M

    Hodi hodi pamoja na kuomba kazi

    Jamani mimi nimara ya kwanza kujiunga humu ndani naomba mnipokee kwa mikono miwili! Vile vile niko hapa pia kutafuta kazi maana najua penye wengi hapaharibiki kitu, nimehitimu shahada ya kilimo chuo cha kilimo cha sokoine kwa ukweli nimeiva haswa ktk fani ya kilimo. Good luck
Back
Top Bottom