Zitto ajiepushe na vyombo vya habari kwa kipindi hiki na ajiepushe na kujadili maamuzi ya CC ya Chadema.. Otherwise tutatilia shaka kabisa dhamira yake aliyotangaza kuwa atafuata itifaki za chama zote kulimaliza jambo lake! Aache kutafuta huruma kwa wananchi atafute huruma CC maana ndo...
Watanzania bado mna safari ndefu kufikia uhuru wa kisiasa, wengi fikra zenu ni mateka wa CCM! Mtatawaliwa sana na akina Majangili, Mafisadi na Mauza unga.. Grow up Rutashubanyuma
Umeme wa Mgao mnauza Tshs 860 kwa unit hiyo hadhi imerejea wapi? Kufanya matamasha ya Muzic wa Kizazi Kipya ndo kurejesha hadhi ya CCM! Aibu aibu aibu!
Wanalumumba wafuatao njoni mtueleze kwanini hamtakaa muone form ya kugombea uenyekiti wa CCM
Mwigulu Nchemba, Ritz, Simiyu Yetu, ZeMarcopolo, HAMY-D njooni mtueleze kwanini huwa mnapiga kura za ndio na hapana za uenyekiti wa taifa?
CCM nyie ndo madictator wa kutupwa na wanafiki wa kutupwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.