Search results

  1. MESAYA

    TELESALES AGENT-JOB VACANCY

    Milvik Tanzania Ltd (BIMA Mkononi) Dar es Salaam, Tanzania Anwani: Whitestar Complex, Kiko Avenue, Mikocheni, Dar es Salaam 31308, Tanzania Tunapenda kuwatangazia nafasi za kazi Watanzania wote waliohitimu angalau stashahada au zaidi. Majukumu ya kazi Kupokea na kupiga simu kuwapa elimu...
  2. MESAYA

    Serikali Yatangaza Ajira za Walimu

    Mwenye link ya majina atupie, naona website ya Tamisemi haifunguki
  3. MESAYA

    USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Nimepoteza muda wangu kusoma nikijua labda kuna jambo nitalipata kumbe ni kelele za kujisifia tu? Sasa hivi kweli July wewe uundiwe kikao for what so special you have? Labda kama sio ww July ninayekujua. In politics za upinzani wewe hauna impacts kabsaaa, ni sawa na kujitahidi kukojoa kwenye...
  4. MESAYA

    Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    PPF walizuia fao la kujitoa since may 2016. Kwa kile walichokiita waraka wa serikali wa mifuko ya kijamii kuzuia fao hilo
  5. MESAYA

    Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Kwa hali hii imefikia hatua kuchangia mifuko ya kijamii kuwa ni hiari
  6. MESAYA

    PPF wameondoa rasmi fao la kujitoa"Withdrawal benefits"

    Niliwahi kwenda PPF kutaka kupata maelezo zaidi kuhusu hilo Fao la kujitoa, wakaniambia halipo kwasasa kutokana na sheria iliyopitishwa na serikali. Bahati nzuri nilienda na gazeti lenye kichwa kinachosema "Fao la kujitoa ruksa" ambayo ilikua ni kauli ya mwenyekiti wa SSRA. Nilivyowauliza kuhusu...
  7. MESAYA

    CHADEMA Mbeya walalamika kuhusu uteuzi wa Wabunge wa viti maalum

    Kamwe huwezi kutenda na wote wakarithika kama nafasi ni moja na wahitaji ni milioni. Jambo la msingi ni kushikamana na kutanguliza mbele maslahi ya chama kuliko maslahi zetu binafsi.
  8. MESAYA

    Inaonyesha kuna Mengi sana nyuma ya ACT-Wazalendo

    Kuna masuala mengine hayahitaji kuumiza kichwa sana kuyatafakari, ACT ni chama kipya ambacho hakina hata mwaka mmoja, hakina hata mbunge mmoja kwenye bunge la JMT lakini wanafanya mikutano almost nchi nzima. Swali la kujiuliza, wanapata wapi ufadhili wa kufanya mikutano yote hiyo? Ilihali hawana...
  9. MESAYA

    How the new Cyber Law will land you in Jail...

    Ama kweli tumezibwa mdomo
  10. MESAYA

    Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Anyway sio lazima kukubali bt ukweli ni kwamba OGE ni miongoni mwa kampuni zinazolipa vizuri..... RM anachukua more than 5M
  11. MESAYA

    Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Wadau punguzeni uongo, mimi nafanya kazi OGE-Moshi, Ofisi ipo DTB building na kwasasa wamechukua lile jengo wanaita M-POWER building..... Ni miongoni mwa kampuni zinazolipa vizuri sana na hawaangalii experience na vile vile ukifanya kazi kwa mafanikio unaweza kuwa promoted ndani ya mwaka na...
  12. MESAYA

    Monduli: Uhuni wa Lowassa huu hapa

    Hizi ni cheche tu, bado kuna moto wa mambo lukuki ambayo watanzania hawajui kuhusu Lowasa. WanaMonduli tunahitaji kuona mkitumia vyema kalamu zenu kutoa CV halisi ya Bwana Lowasa kwa Watanzania ambayo itajikita kwenye "THE DARK SIDE OF LOWASA" ili watanzania watuelewe ni kwanini tunasema hafai...
  13. MESAYA

    Barua ya wazi kwa Mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

    TAFAKURI YANGU Ndugu vijana wenzangu na watanzania wote, mustakabali wa taifa letu upo mikononi mwetu, mustakabali wa vizazi vijavyo ndani ya taifa letu upo kwenye maamuzi yetu ya leo, mustakabali wa rasilimali zetu upo kwenye sheria, kanuni na taratibu tunazoziweka kwa sasa, mustakabali wa...
  14. MESAYA

    Barua ya wazi kwa Mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Nianze waraka wangu huu kwa kutanguliza salamu zangu za dhati kwako. Kwa taratibu za mila na desturi za kimasai, napaswa nikusalimie kama baba yangu kwa kusema "Airoroki papa". Tukirudi kwa lugha yetu mama ya taifa napaswa nikusalimu kwa...
  15. MESAYA

    Kawe kimenuka: Milio ya risasi yasikika!

    Wanatuzingua na furaha zetu......mabadiliko yamewadia , ccm ijiandae kuwa chama pinzani
  16. MESAYA

    Is God fair ?

    Mshirikishe Mungu kabla ya kufanya maamuzi na usimshirikishe Mugu katika kujutia maamuzi uliyoyafanya mwenyewe
  17. MESAYA

    Hatima ya Stanbic na Mkombozi Bank kuhusishwa na Kashfa ya Escrow Account

    Kanisa katoliki ni miongoni mwa hasasi za kidini zinazotuhumiwa kuhujumu uchumi kwa bank yake (Mkombozi Bank) kutakatisha fedha haramu na kiongozi wake mkubwa Askofu Methodius Kilaini kutuhumiwa kupata gawio la fedha hizo haramu. Kwanini taasisi hii isifutiwe usajili hapa nchini ili iwe...
  18. MESAYA

    Programu ya JKT kwa vijana na athari zake kwa Taifa

    Wazo langu!!!! Hivi majuzi tulishuhudia mkusanyiko wa vijana zaidi ya 10,000 pale uwanja mkuu wa taifa wakisubiri kufanyiwa usaili na idara ya serikali ya uhamiaji. Nafasi zilizokua zikiwaniwa na kundi hili ni nafasi 70 tu, hivyo kufanya zaidi ya vijana 10200 kurejea mtaani kuungana na genge...
  19. MESAYA

    SCI Internal Job Bulletin 18/06/2014

    Ismail.mesaya@gmail.com
  20. MESAYA

    Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

    Mmmmh...... Kweli....
Back
Top Bottom