Search results

  1. S

    Nawaunga Mkono Madaktari

    Hvi kwa kinacho endelea bungeni tangu uchaguz wa mwaka juz ni nini tumesikia cha kuufaidisha umma wetu zaidi ya kusikia mishahara ya wabunge,umeme,maji,mafuta kuongezeka kwa fujo? Kwanini daktari asiongezwe mshahara mara dufu kuliko hawa maswahubu kujimegea mishahara isiyo kifani bila jipya hapo...
  2. S

    Matokeo kidato cha nne yamechakachuliwa

    Kaka ukistaajabu ya musa utazima kuona samsoni akivunja miamba.. Nilicho sikia mimi ni kwamba eti kwa kuwa shule za kata ndio hasa hufanya vibaya! Hzo ndizo zimelengwa kufanyiwa hyo adjustment ili serikali waonekane wame upgrade ktk kusimamia muamko wa elim. Ndo taifa letu jamani. Litawaliwalo...
Back
Top Bottom