Search results

  1. T

    Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

    :A S 20:wanakuja kupanga nani wakumweka 2015!!!!!!! hakuna jipya hapa that y kila mwaka1 au 2 kabla uchaguzi august au july kunakua na ziala ya maraisi wa hii.AAAAGH!!! WAACHENI WALE BWANA!!! So the guy is simply coming to chop off his share!
  2. T

    DREVA/DRIVER.. Read this!!

    Acheni ungese wenu
  3. T

    AJIRA Kama una sifa

    Huu ushamba wa mtandao unadanganya leo kesho utadanganywa ww mwenyewe. Utani watu wanashida kweli au utukanwe then ureport.
  4. T

    Madaktari na Posho za Wabunge

    Hivi kweli unaweza kununua tairi mpya za gari ikiwa gari lenyewe halina mafuta viongozi wakuu serikali ya tanzania mnaakili timamu au mnakurupuka tu hivi kwanini hizo posho msiziamishie kwenye mishahara ya madaktari wetu kwa kuwatengea bajeti iliyonona wafanye kazi ktk mazingira sahih kwa...
  5. T

    Du! Hadi huku

    Student mmoja akuta matokeo ya necta 4m 4 yamebandikwa ubaoni skonga kwao student:du! page ya 4 hii coni jina langu student2:mmh! Au wame epairizi jina langu student:ahaa kumbe kweli haya matokeo ni feki mi nangoja ya ukweli haiwezekani wakati nili2mia feki student2:du eparaiz had huku
Back
Top Bottom