Search results

  1. N

    Vyuo 3 bora vya sheria Tanzania ni vipi?

    Kwani ubora wa chuo unatokana na vigezo vipi hasa, lecturers, wanafunzi au facilities za chuo?
  2. N

    information security law

    sheria iliyopo inamapungufu mengi kama cyber crime na matumizi ya cafe ambayo serikali inayafanyia kazi kupitia tume ya kurekebisha sheria. ki ukweli panahitajika sheria thabiti itakayopambana na makosa mbalimbali ya mawasiliano
  3. N

    Chama cha Wanajeshi wa Kikiristo - ASSOCIATION OF MILITARY CHRISTIAN FELLOWSHIPS (AMCF)

    Kwahiyo hiki Chama cha Wanajeshi wa Kikiristo kiko registered hapa Tanzania na kwa mfumo upi hasa? siamini kwa kigezo kuwa hiki kikundi si cha kiraia bali ni cha kijeshi yaani wanajeshi(sio raia) wa kikristo. labda mnipe ufafanuzi JF
  4. N

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    kwa mwendo huu siasa ya nchi yetu sijui inaenda wapi
Back
Top Bottom