Search results

  1. U

    Kiongozi wa kundi la Al Qaeda lebanon afariki

    E Mungu msamehe Mja huyo kwa madhambi yake.
  2. U

    CCM kubebwa na Benard Membe uchaguzi mkuu 2015

    Wana JF tuwe makini sana na kauli zetu kwa kuwa tutakuja kusutwa na Historia mbeleni. Niwape mfano, tukiwa pale Mlimani (UDSM) mwaka 1995 Mh. Ben Mkapa alipochukua Fomu kugombea Urais TAHLISO kwa kauli moja ilikutana Mlimani na kutoa kauli kwamba Mkapa hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano kwa...
  3. U

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Siamini kama ZZK anaweza kuwa na uelewa mdogo kiasi hicho. Nilidhani angejitetea kwanza na uamuzi ukitolewa angekwenda Mahakamani kupinga adhabu aliyopewa. Kuzuia Kikao maana yake nini? Kama ana wafuasi wengi kwa nini ang'ang'anie CHADEMA? Si ajotoe na kwenda wanakomuhitaji au kule ambako...
  4. U

    Big up udsm

    Acheni Ubishi usio na logic. mtu unabisha kwamba Udsm sio Chuo bora Wakati ulikosa sifa za admission ukakimbilia Mzumbe! Dunia Nzima inajua kwamba kwa Tanzania University ni Udsm tu wengine wamebatizwa tu majina ! kweli itawaweka Huru Daima
  5. U

    Katibu wa UWT(CCM) Amina Makiragi amtuhumu Lembeli na Kamati yake ya Bunge!!

    Lembeli ni CCM na ametusafishia njia kushinda uchaguzi 2015 kiulaini!
  6. U

    Channel Ten na Lusekelo watakeni Radhi Wahehe

    Wewe rudi kwa shemeji yako unakojihifadhi. Utapewa mbwa hata kumi. Pia acha unafiki na kula rambirambi za wafiwa na kuisema Chadema ila itangaze CCM ililyokulea wewe na wazazi wako.
  7. U

    Nauza gari Toyota Gaia T702 BTR

    Toyota Gaia Silver, Model 2002, Automatic, cc1998 petrol, station wagon,Tare weight 1222, Gross weight 1600, seating capacity 6 passangers excluding a driver, distance covered to date 122000km. Insured till march 2014, Road license expires 9th July 2014, in good condition. Price negotiable...
  8. U

    Nauza gari Toyota Gaia T702 BTR

    Toyota Gaia inauzwa. Bei mapatano. Piga 0713961860
  9. U

    Afisa utumishi wilaya ya Muheza

    Nipigie Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais,Utumishi 0713961860 Chialo
  10. U

    Nimemsikiliza JK Jana; Tafsiri Yangu...

    Katika kutetea maslahi ya Tanzania daima tutakuwa pamoja na Rais wetu. Hotuba ilijaa busara na hekima ya hali ya juu! Hongera sana Washauri wa Rais! Mungu ibariki Tanzania!
  11. U

    Vyuo vikuu bora afrika

    Tatizo la kusoma Vyuo vya Kata! Hata kuelewa nilichoandika ni tatizo? Ningeandika Kiingereza si ingekuwa tatizo kubwa. Nimesema MZUMBE ni Institute siyo University! UMEELEWA?
  12. U

    Mume wa dada yako(shemeji) anapo mgegeda mkeo.

    Chinga ndugu yangu upuuzi gani huu! Acha unafiki pasua jipu vinginevyo UTAMENYWA!
  13. U

    Makombo siyawachii-sapoti

    MAKOMBO Ama kwa mlaji kweli,ambaye hapuuzii, Asiye na mushkeli,kula afanya bidii, Mle hujiweka mbali, kukera sidhamirii, Nakula siyawachii,niyakutapo makombo. Dk. Kassim Pazi Haumotile, MWANANCHI, Septemba 27,2013 MAKOMBO(SAPOTI) Makombo yana utamu,nikutapo sizembei, Halani hutia...
  14. U

    Soma mtoto wa kike

    SOMA MTOTO WA KIKE Soma mtoto wa kike, soma usitetereke, Soma usishawishike, hadi mwishoni ufike, Soma nyadhifa ushike, Nchi hii utumike, Soma nakutegemea, soma mtoto wa kike. Soma usibabaike, mafundisho uyashike, Soma usidanganyike, vishawishi uepuke, Soma kisha...
  15. U

    Nyumba ndogo

    Kwa wale wapenzi wa Nyumba Ndogo angalia Shairi hili: Nyumba ndogo si fahari,si pendo ulimbukaji, Pendo lisilo nadhari, daima unyatiaji, Mara nyingi ni kaburi, la kufukia mitaji, Sisaliti Ndoa yangu, sababu ya nyumba ndogo. Sababu ya nyumba ndogo, sisaliti Ndoa yangu, Mke...
  16. U

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    MADENTI HUKO VYUONI Hakika sisi wazazi,mno mwatufedhehesha, Madenti wa siku hizi,sana mwatunyong'onyesha, Kwanza ni hayo mavazi,kweli mwatuaibisha! Kuweni Waadilifu, Madenti huko Vyuoni. Madenti huko Vyuoni,bure mwajidhalilisha, Mwazurura mitaani, na usiku "kujirusha"...
  17. U

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    MADENTI HUKO VYUONI Hakika sisi wazazi,mno mwatufedhehesha, Madenti wa siku hizi,sana mwatunyong'onyesha, Kwanza ni hayo mavazi,kweli mwatuaibisha! Kuweni Waadilifu, Madenti huko Vyuoni. Madenti huko Vyuoni,bure mwajidhalilisha, Mwazurura mitaani, na usiku "kujirusha"...
  18. U

    Chonde chonde mliopo vyuoni!!

    MADENTI HUKO VYUONI Hakika sisi wazazi,mno mwatufedhehesha, Madenti wa siku hizi,sana mwatunyong'onyesha, Kwanza ni hayo mavazi,kweli mwatuaibisha! Kuweni Waadilifu, Madenti huko Vyuoni. Madenti huko Vyuoni,bure mwajidhalilisha, Mwazurura mitaani, na usiku "kujirusha"...
  19. U

    Nimefurahi serikali kuyafungia magazeti ya Mtanzania na Mwananchi

    Kwani Gazeti la MTANZANIA bado lilikuwa Sokoni hadi sasa? Mimi tangu kununuliwa kwa KAMPUNI ya HABARI corporation na watu fulani, nilishaacha kabisa kusoma RAI , MTANZANIA na ndugu wengine wa Kampuni hiyo baada ya kuona UANDISHI usiozingatia Maadili na usio na ADABU kwa Serikali. Hakuna...
Back
Top Bottom