Search results

  1. S

    Shosti zima simu: Utasema mtandao wa TIGO ulikuwa unasumbua! (wanaume someni hapa)

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu, mnavyowatendea wadada mnafikiri ni vizuri au wao hawaumii? mnawapanga kama wako kwenye foleni za Dar, ukipigiwa uko kwa huyu unajifanya nimfanyakazi mwenzio anakusumbua hupokei, ukienda kwake mwingine akapiga ni hivyo hivyo. Huyu dada alikuwa sahihi kwani...
  2. S

    Inawezekana

    Inawezekana, lakini kulingana na maelezo yako kwamba umekapa mgogo ili kasikutege, hapo nina wasiwasi, Hujaacha ila unapumzika. maana ungekuwa umeacha usingekuwa na wasi wasi wa kutegwa ungekaona kama mwanaume mwenzio.
Back
Top Bottom