Search results

  1. Kokwa kavu

    INSTASCOOP (MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD)

    Kujaribu kitu kipya hakungati share na marafiki Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kokwa kavu

    INSTASCOOP (MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD)

    JINSI YA KUJIUNGA NA *INSTASCOOP* njia mpya ya kupata habari za uwakika moja kwa moja kwenye *WhatsApp* yako kutoka *Mwananchi communications Ltd* 1-Bonyeza hii link[emoji1427][emoji1427][emoji1427] https://rebrand.ly/MCL4 2-Bofya neno JISAJILI 3-Bonyeza neno WhatsApp 4- Weka alama ya vyema...
  3. Kokwa kavu

    Kilichojiri Interview ya PPF

    Majina yapo kwenye instagram account yako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kokwa kavu

    Kilichojiri Interview ya PPF

    Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kokwa kavu

    Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

    Ivi TGS D ni mshahara kiasi gani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kokwa kavu

    Series (Special thread)

    Pole sana but tatizo ni ulikua umepewa sifa zote ambazo huwez pata kwa episode 1 take your time and watch when huna haraka then uje utoe mrejesho Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kokwa kavu

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Hongera kaka kwa hizi makala zinatupa mafundisho sana niko hapa nasubiria muendelezo
  8. Kokwa kavu

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Mkuu uzi zako najitahidig nisikose kabisa sehem ya 3 lini?
  9. Kokwa kavu

    Hivi kuandaa watoto kumshangilia Rais Walimu mnapata faida gani?

    Hawajaandaliwa kabisa ila kanisa la kristu mfalme misa ya pili ni ya kingereza ambako washiriki wake wakubwa ni wanafunzi wa St Mary goreth so ilikua obvious kwa wao kushangilia walipomuona Rais hili sio kosa ni jambo natural kutokea.
  10. Kokwa kavu

    Dactari bingwa wa kifua na mapafu

    asante kaka kesho nitakwenda
  11. Kokwa kavu

    Dactari bingwa wa kifua na mapafu

    Habari wakuu, Nimekua natatizo la kifua kwa muda mrefu nikitumia vitu vya baridi nakua natoa makoozi kwa muda mrefu nimeacha lakini hali bado ipo na pafu la kulia kwa chini asubuh linakua linauma hata mchana au nikiwa kwenye ac kali. Nimepiga xray mara nying wanasema niko poa. kuna wakat...
  12. Kokwa kavu

    Sababu muhimu kwanini Urusi hawezi shinda vita dhidi ya USA

    What i know data zote zilizo waz ni za kimbinu cio za kwel maana kama nakumbuka vizur kuna mwanamke mmoja wa kirusi alikua trained kuingia kwenye maisha ya wazir wa ulinz wa uingereza ili kujua idadi ya askari mwenye data sahih anirekebishe but all in all vita ya tatu as full scale war kutokea...
  13. Kokwa kavu

    Amos Makalla: Wanafunzi wa Mbeya Day, wana nidhamu mbovu,Wanavuta bangi, Walimu karibuni Mbeya

    wewe kama mzazi subir siku mwanao anakuja kukutoa macho ndo utajifunza kumfundisha adabu kabla mwalimu hajaja kumpiga kuzaa sio tija bali lea pia katika nizamu nzur
  14. Kokwa kavu

    Mji wa costantinople

    ulikua mji mkuu wa ufalme wa warumi wa mashariki uliobaki after wa magharibi kufa now days instanbul kabla Ottoman empire haijaja kuiangusha dola hii ya kirumi mwaka 1453 iliyotawala dunia kwa miaka 1500 toka 27BC kwa ujumla
  15. Kokwa kavu

    Naomba kujua historia ya Urusi

    the return of Emperor coming soon stay on your JF cc emperor
  16. Kokwa kavu

    Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

    Tuache kuangalia hili swala upande mmoja nilitegemea mawazir wasingelichukulia hili swala juu juu na kutoa maamuzi bila kupata taarifa sahihi japo sijapenda kile kitendo ila tuangalie upande wa pili wanafunzi mashuleni muda mwngne jaman sio wanafunzi Mzee warioba alikua sahihi sana serikali now...
  17. Kokwa kavu

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Upo sahihi mkuu kabisa kama tukiendelea na siasa za umaarufu bila kuwa na sababu za msing kukosoa nguvu ya upinzani 2020 itakua ndogo sana nauna pia Kiongozi mkuu wa ACT naye kawa mtu wa kukosoa kila siku
  18. Kokwa kavu

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Naomba kunukuliwa kuwa haya ni maono yangu na naamin huu ndo ukweli. Tangu mkuu huyu kuteuliwa amekua akipambana kwa kila namna kuhakikisha anatimiza malengo yake pia upinzani umekua macho ili kuonesha mapungufu yake. Na yafuatayo ndo yaliyotekea 1.Mkuu huyu kujaribu kufanya mambo yote ambayo...
  19. Kokwa kavu

    Magufuli: Nimefurahi sana kusikia madereva wa malori wamekosa mizigo, barabara zitapona

    Hata siku moja decision yeyote haiwezi kufavour pande zote bali tunaangalia upande upi utakua wa public interest at large.
Back
Top Bottom