Search results

  1. S

    Kikundi cha Waislam chatawanywa kwa mabomu Mnazi mmoja - Dar

    waacheni wakusanyike wakiwa wengi ndo muwapige mabomu
  2. S

    Regina Mwalekwa hopeless kabisa

    Aliyesema clouds radio ya burudani ni muongo..ilikuwa radio ya burudani zamani enzi za kina jide, masoud, rayc na marehemu amina chifuta siku hizi ni redio ya majungu fitna na watu wenye akili finyu wanaojifanya kuchambua mambo wasiyoyajua wala kuwa na ufahamu nao ...mfano kipindi kama jahazi...
  3. S

    Nini ilikuwa dhamira ya gazeti la MWANANCHI?

    Ninasoma hapa gazeti la mwananchi nimechanganyikiwa kila siku walikuwa wanariport kuwa mke wa kigogo katapeli akishirikiana na bwana anayeitwa Baraka nashangaa leo wamebadilisha na kuandika kwamba eti huyo mke wa kigogo ni miongoni wa waliotapeliwa!! najiuliza kama mwanzo walisema nafasi...
  4. S

    Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

    Kama mbowe ameweza kuendesha club kwa mafanikio .....ameongoza chama ambachomekua chama makini kiasi cha kuogopesha na kuitesa cc na serikali....ameweza kuongoza ndugu zake kutunza na kuendeleza mali za marehemu mzee wake.....anaongoza kambi ya upinzani bungeni kwa mafanikio, anamuongoza mke...
  5. S

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hivi rasilimali zinaviziwa na wafadhili ya CHADEMA? Rasilimali gani maana nijuavyo mimi rasilimali zinachukuliwa waziwazi chini ya utawala wa CCM...au CCM imeona kuwa chadema wameingilia dili lao la ukuwadi wa rasilimali zetu...mwaka huu tutaona mengi....mbona mwenyekiti wa CCM ndiye mara kwa...
  6. S

    Dk. Ulimboka: Niko fit!

    mkasome zaburi 17
  7. S

    Kamanda Freeman Mbowe kusimamia changisho la M4C leo serena hotel...

    Mnapingana na chadema au mnapingana na wachaga? Miaka yote wachaga wamepigwa vita wasiendeshe hii nji na kuwapunguza makali kwa maneno mengi kuwa ni wezi nk....lakini kwa ushujaa walio nao wameweza kuwa muhimili wa uchumi wa nchi na kabila lenye maendeleo katika nyanja zote ikiwemo kiuchumi...
  8. S

    Kamanda Freeman Mbowe kusimamia changisho la M4C leo serena hotel...

    Mnapingana na chadema au mnapingana na wachaga? Miaka yote wachaga wamepigwa vita wasiendeshe hii nji na kuwapunguza makali kwa maneno mengi kuwa ni wezi nk....lakini kwa ushujaa walio nao wameweza kuwa muhimili wa uchumi wa nchi na kabila lenye maendeleo katika nyanja zote ikiwemo kiuchumi...
  9. S

    Tigo ni wezi??

    Wadau naomba msaada jana nimeweka vocha kwenye number yangu ya tigo mara mbili na ikawa inaisha bila mimi kupiga simu ....hawa tigo ni wezi au ni mauzauza yalinitokea?
  10. S

    Tangazo: "chadema sasa yafutwa rasmi"

    ama kweli chenye mwanzo kina mwisho ...kila nikisom michango ya wanaccm wenzangu naona ni kataka tamaa viva ccm though we are dying softly
  11. S

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    kwa mtu yeyote asiyejua tabia za wanyeramba Mwiguli anaweza kumpa shida sana.....wengi wao akili zao siyo kwa sababu wamekulia kwenye tembe na wameathiriwa na upepo mkali na vumbi.....hivi huwa hamumuonagi akitaka kutoa mchango wake bungeni anavyopata shida? Mwenzake tundu lisu ni mnyaturu ndo...
  12. S

    Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

    akaondoe kwanza picha zake za kipuuzi puuzi fb, atubu na kuungama ndo aweze kudraw attention za wanafunzi wa primary wenye kupenda kuangalia siasa za maji taka....muda huo nitakuwa naangalia taarabu...
  13. S

    5 bila za Dr Slaa, CHADEMA kwa serikali na jeshi la polisi

    nyantella ...ni lazima ujue slaa akiwa raisi hao polisi na TISS hawana jinsi ni lazima wampigie saluti na kumlinda ...si kwa sababu wao ni polisi tu la bali kwa sababu ni taasisi zilizoanzishwa kikatiba kufanya kazi hiyo...na mamlaka ya urahisi yanakuwa derived from citizen ambao ndo waanzilishi...
  14. S

    5 bila za Dr Slaa, CHADEMA kwa serikali na jeshi la polisi

    Wana JF nimefurahia sana majibu ya Dr. Slaa kwa polisi 1. Chadema hawana imani na jeshi ya police 2. Polisi waseme kwa nini mara zote wapinzani wanapolalamika polisi hawapatiwi majibu i.ekupigwa kwa polisi mwanza, mauaji ya raia arusha, mauaji ya igunga, mauaji arumeru nk. 3. viko wapi vinasa...
  15. S

    Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

    alitaka nani auze gari lake ndo akawawekee pump kwao? tatizo ni serikali yake haiwajali wananchi...mi ninaamini angesema amerudisha gamba ameamua kujiunga na makamanda wa cdm ili adai maji mpaka kieleweke angeeleweka zaidi...lakini kuuza gari lake hilo ni shauri yake na magamba. Hapo hastahili...
  16. S

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Ujumbe amenitumia Daktari yupo pale MOI ‘Kaka Zitto,hali ya Dr.Ulimboka yuko unconscious,multiple ribs fracture na kwenye mikono pia amevunjika pamoja na taya,yuko icu wanamstabilise kwanza kwasababu hapumui vizuri,the situation here is really bad,I agree with you this is outright...
Back
Top Bottom