Leo nimeona Kwa nn Tz ni maskin, tunaongozwa na CCM yenye wabunge wapuuzi Wenye upeo mdogo sana, ni bora madereva wa boda boda wanaweza Kuwa na upeo kuliko kina Chombo,lusinde na Yule mama.
We kilaza umeniquote hapo juu nikimcheka bibi mwenzako Faizafoxy alivokuwa anakejeli watu Wanataka Umeme wa bure, huajnielewa kilaza ukadhani nasapoti wizi wenu, Boya ww
Kwaiyo mna cag wenu mwingine analeta report ya pili au mnakujames kupinga maprndekezo ya pac. Maji yashamwagika bibi Yangu. Bado kulifukua jambazi kuu profesa la Beijing
Sasa mnajipanga kumjibu nani, cag au pac, pac wao wamechambua taarifa ya cag na kutoa mapendekezo. Au wenzetu mna cag wenu mwingine anaandaa report ya Majibu. The demage is done already, Pinda wa Jana si wa Leo admit it.
We kilaza umeambiwa mchakato mzima ni tapeli mtupu,documents Za kufoji etc. Pap/iptl haikutakiwa kulipwa chochote Kabla ya uamuzi wa court ya kimataifa iliyoshugulikia mgogoro huo.
We Jamaa ni kiaz kweli mwanzo jAna ulikuja na nyimbo Za zuio la mahamama report haitasomwa- report ishasomwa unaleta story za MWizi muhongo kesho Kuja na revenge, usichoelewa ni ninI: PAC wamechambua taarifa ya CAG na kuitolea mapendekezo kwahiyo Huyo muhongo anakuja kupinga taarifa ya CAG au...
Ismail Jussa anaonea sasa. anasema wanapokuwa kwenye baraza la waw kilishi wote bila kujali vyama wanatetea uzanzibari, lakini kufika dodoma wenzetu wameufyata. anasema alimuuliza mwenyekiti wa bunge siri ya wajumbe kutoka znz kuufyata wakifika dodoma. Jusa anasema...
Katibu Mkuu wa CCK, Renatus Muabhi.PICHA|MAKTABA
Dar es Salaam. Wajumbe wa Kundi la Tanzania Kwanza nje ya Bunge la Maalumu la Katiba jana waligawanyika mbele ya waandishi wa habari waliowaita kueleza mkakati wao wa kuandamana nchi nzima kupingana na mahasimu wao wa Kundi la Umoja wa Katiba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.