Search results

  1. S

    Mgomo mwingine wa madaktari hautakubalika!

    tatizo liko wapi sikusema tu nyinyi mnatibiwa kwenye mahospitali ya private hamna shida huo ufisadi wenu na wa nduguzeni iko siku utaisha unataka sisi tufe eeee kwa mgomo wa madaktari basi utaanza wewe
  2. S

    Mgomo mwingine wa madaktari hautakubalika!

    Mweeee mtoa mada kweli haelewi nini kinachotakiwa madaktari endeleeni na mgomo wenu bana hawa jamaa wanawachezea sana hata sisi walalahoi tuna wasupport kwa sana kama ningekuwa na akili za darasani na mimi ningesomea udaktari hawa jamaa wanafanya kazi sana usiku na mchana hawana weekend hawana...
  3. S

    Share this to support doctors' strike!

    Najivunia hata leo nikifa kaburi langu litaandikwa DR wewe ukifa utaandikwa Prof au kuhusu hospitali ya muhi2 ni yetu wewe ukiingia pale ni kungaa macho tu huelewi chochote ni kunynyekea tu na ni maadili yepi ya udk unayoyajua wewe kuliko dk mwenyewe jamani address zipo nyingi zinahitaji madk...
  4. S

    Share this to support doctors' strike!

    Bado unaendeleza umbumbu wako toa hiyo shule yako ambayo unaitetea jiweke hadharani kama hatujakushika na hizo shule zako mbovu kabisa na hizo prpaganda za hao mapaparazi wako wa kichwa miguu wanakuchanganya wewe unasema nikimbie kwa hako kaelimu kako kakubahatisha haaa haaa wewee you do not...
  5. S

    Share this to support doctors' strike!

    :A S embarassed:INAONYESHA ULIVYOKUWA MFINYU WA KUFIKIRIA NA MBINAFSI NA INAONYESHA JINSI ULIVYOTUMWA KUPINGA UMMA NA HIZO PROPAGANDA ZILIZOSHINDWA NA BADO MADAKTARI LAZIMA WASHINDE KWA KUDAI HESHIMA YAO SIYO KUWABURUZA KAMA WANYAMA HAWA WATU WAMESOMA MIAKA MINGI KULIKO WEWE NA MASOMO YAO...
  6. S

    Share this to support doctors' strike!

    Inaonyesha ulivyokuwa mfinyu wa kufikiria na mbinafsi na inaonyesha jinsi ulivyotumwa kupinga umma na hizo propaganda zilizoshindwa na bado madaktari lazima washinde kwa kudai heshima yao siyo kuwaburuza kama wanyama hawa watu wamesoma miaka mingi kuliko wewe na masomo yao yalikuwa magumu kuliko...
  7. S

    Tamko la chama cha madaktari Tanzania (MAT)

    Jamani Madaktari hakuna atakaye wakomboa ni nyinyi wenyewe wenzenu wanacheza na makaratasi wizarani wanakula hela ya nguvu nyinyi mnahangaika na wagonjwa mnaambulia magonjwa ya migongo na maTB
Back
Top Bottom