Search results

  1. S

    Mwenyekiti wa UVCCM Arusha awasaliti UVCCM

    Siasa ya Bongo Bwana! Haya tujuze yatakayojiri yale ya kweli lakini
  2. S

    Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    Hongera Riziwani Kikwete Ninakutakia ushindi mwema kwa uchaguzi wa Serikali unaofuata.
  3. S

    Kura za SAUT kugawanywa

    mtoa hoja,kama haujafanya utafiti hauna haki ya kusema,haujui usemalo.
  4. S

    JK: Nitawatenganisha Dk. Mponda, Nkya

    Mungu ibariki Tanzania
  5. S

    Udom posts selection hakuna vimemo.... Udsm watemwa!!!!

    kweli bado sana,watanzania hatujaelimika.hivi watu mmesoma lakini bado mnaubiri ushabiki wa vyuo?.mi ata GPA za Tz hazinisumbui,jambo la msingi ni uwezo wa mtu husika
  6. S

    Kitakacho mkomboa mwanamke hiki hapa, si sikuu ya wakina mama

    Mkombozi pekee wa wanawake duniani ni kujiamini tu, achanani na kusaka nafasi za kupendelewe na kujifariji kwa misemo inayowadunisha,eti mwanamke akiwezeshwa ataweza! kwani? asiweze mwenyewe mpaka awezeshwa? hapo ndipo mnapokosea na kuiaminisha jamii kuwa hamna uwezo mpaka muwezeshwe na wanaume...
  7. S

    CCK yaingia Arusha kwa kishindo

    jamani ya igunga yasijitokeze arusha.sisi hatutaki siasa za mabavu then watu huku ni waelewa wala hatuitaji helkopa zenu.
  8. S

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    hivi ffu nao wanatibiwa muhimbili? Au appolo india?
  9. S

    Mhe Freeman Mbowe unajua haya? Zao la kahawa Hai ndiyo limekufa hivyo

    kwa takwimu za 2oo7 ni hekta 12,655 za kahawa mkoa kilimanjaro zilikuwa zinazalisha tani 1800 tu.sasa kadri siku zanavyosa hali inazidi kuwa mbaya,ili hali wilaya ina hekta 46,506 zinazofaa kwa kilimo.haya ndiyo mambo yanayoshusha heshima ya shilingi na kudumaza uchumi. hakuna kahawa ya kuuza...
  10. S

    Zitto Kablwe ndani ya Clouds FM

    ila ata yeye si ana miradi.awaweke vijana wake
  11. S

    Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

    ila wakuu mbunge naye mwanadamu kama wewe na ni dhaifu tena mwenye kupata maradhi km mtu mwingine na siku zake za kuishi ni kama kenda,huchanua wakati wa mchana na hufifia.......na siku za kuishi ni chache.....Mungu akuponye haraka mhe lema
  12. S

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    inshort,hakuna utaratibu wa wazi.ila kama yupo ambaye unahisi ni UwT mweleze nia yko hope akione kweli unalengo atakupa mwongozo.ile we msomi mkuu! ukiambiwa nenda nyaruyeye miaka 5 na unajitenda na utandawazi utakubali
  13. S

    kiwanda cha TANZANIA MACHINE TOOLS nani anakitafuna?

    halmashauri inaongoza na cdm! Hawajaliona hili
  14. S

    kiwanda cha TANZANIA MACHINE TOOLS nani anakitafuna?

    kiwanda hiki kipo kilimanjaro(w)Hai,chini ya PSRC ni miaka mingi hakizalishi na hakuna anayewajibika walau kutaka kujua nini? Kinaendelea, wakati kilikuwa mkombozi wa wanahai ambao wanaeneo dogo sana la kilimo hekta 46,506 sawa na asilimia 46 lingine ni misitu na miamba.hiki kiwanda ni...
  15. S

    Kafulila aifunika KIGOMA

    hii ndiyo demokrasia sasa bado mgombea binafsi tu! Tutasema Tz kuna demokrasia ya kweli
  16. S

    Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

    huyu mzee ninamkubali sana ila kwa hili amekosea.alitakiwa adhibiti wizi pale ili ajuwe mapato halisi ni yapi?,na je? Yanatosha kuendeshea!
  17. S

    Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

    hakika wabunge wa dar mmeonesha uzalendo kwa kuweka vyama venu pembeni na kupigania watanzania wote.hongereni sana
  18. S

    Wadau nimeingia kamili jamvini bila unafiki

    Ni miaka 3 sasa kila siku ya Mungu huingia humu jamvini na kusoma mawazo yenu wadau.leo nimeamua nijisajili rasmi tena kwa jina langu kamili.ili nitakapo changia wananifahamu wapate ithibati ya kunikosoa.karibu
Back
Top Bottom