Search results

  1. N

    Makato ya Luku yanatisha! Angalia hapa

    Mwigulu siku nyingine angalau ujiongeze kidogo kwa kutafuta jina zuri la kodi unazobuni mfano hii hapa ungeipa jina la kuimarisha au koboresha makazi bora Mijini na Vijijini(IMPROVING RURAL AND URBAN SETTLEMENTS).
  2. N

    Bili ya Maji kwa wakazi wa Mwanza imeongeza Kati ya asilimia 75-100

    Kwa kweli tunayo safari ndefu.Huduma ya Maji Mamlaka ya Mwanza ni kero.Kaone yanayofanyika maeneo ya Kisesa halafu ushangae kupanda kwa
  3. N

    Uwanja wa ndege Iringa (Nduli ) hata choo kujenga mpaka abiria waje kutoa michango?.

    Nami nikuulize swali japo umejuaje kwetu ni karibu na uwanja wa ndege Nduli?.Kwa taarifa yako tunapofikiria kujenga choo hasa kwenye eneo kama uwanja wa ndege hatujengei watu waliopo eneo hilo bali ni kwa wote wanaotumia huduma uwanjani hapo.
  4. N

    Uwanja wa ndege Iringa (Nduli ) hata choo kujenga mpaka abiria waje kutoa michango?.

    Kwa kweli kuna mambo mengine ni ya kushangaza na wakati mwingine unajiuliza maswali ambayo yana majibu lakini bado unazidi kujiuliza inakuwaje tatizo lisiondoke kama jibu lipo.Naamini Kile kiwanja kina mapato ya kukiwezesha kujenga choo bora na cha kisasa lakini inakuwa vigumu kuelewa ni kwa...
  5. N

    Uwanja wa ndege Iringa (Nduli ) hata choo kujenga mpaka abiria waje kutoa michango?.

    Ni jambo la ajabu na lisiloeleweka katika uwanja wa ndege Iringa kuwa na choo cha namna ile. Kuna cha nje pale uwanjani hata sijui vipimo vya milango yake vilichukuliwa kwa kuangalia vigezo vya binadamu wa aina gani. Milango ni myembamba na hata nafasi yake ndani ni ndogo kupita maelezo...
  6. N

    Waliosoma Ihungo high school njooni hapa

    ST THOMAS MORE COLLEGE -Sijaona wa kutaja Cubic ya Mafupa au wa enzi za Kabwemela na Mshema hampo?.
  7. N

    Tundu Lissu ni wakala wa 'Economic Hit Men' au Mzalendo?

    Tanzania tutakuwa Taifa la watu wa ajabu sana hapa duniani.Taifa la kutaka watu wake wote waseme uongo na kusahau ukweli ni Taifa la watu wa ajabu.Hapa tunaongelea Bilioni 90 shilingi za Kitanzania ambazo zinaenda kutafutwa kwa Watanzania masikini wasio hata na uwezo wa kupata mlo mmoja wa...
  8. N

    Unaweza kuwadanganya watu wachache muda wote, lakini huwezi kuwadanganya watu wote muda wote

    Mpenda kuzoea hali halisi huku site si hiyo unayoitetea.Watu wengi wenye kuijua Tanzania waliyoizoea kama jina lako wana wasiwasi na Tanzania yao ya kesho.Ni kwa mara ya kwanza tangu uhuru msingi mkuu wa Taifa hili Umoja umeonesha kubomolewa kwa kasi ya ajabu rejea uharibifu wa mali za...
  9. N

    Tutafakari: Ukikamatwa ikathibitika huna hatia ulipwe fidia, kama utakavyokutwa na kosa unalipishwa

    Mi naogopa naiona Tanzania ikiwa na Watu wenye haki ya kuishi kwa uhuru na wengine kuishi kwa matakwa ya wenye haki. Hivi kama Nchi hatuoni kama tunajenga matabaka ambayo baadaye tutakuja kuyabomoa kwa gharama kubwa?.
  10. N

    PC yangu ina tatizo hili "Plugged in, not charging"

    Mtu mweusi mwenzoni nilikuwa natumia battery ambayo ilionyesha kuwa imepoteza uwezo wa kutunza chaji. Nilibadirisha na kuweka mpya lakini tatizo lilionekana kuendelea.PC yangu ni Del VOSTRO MODEL 1015.
  11. N

    Kakonko, Kigoma: Rais Magufuli azindua Barabara ya KM 50 kutoka Kibondo hadi Nyakanazi

    Si kweli hiyo ni barabara ya Kibondo hadi Nyakanazi kwa kilometa ulizoonyesha kwenye kichwa cha mada yako. Kibondo hadi Nyakanazi ni zaidi ya hizo kilomita.Hiyo itakuwa ni Kakonko hadi Nyakanazi.Kibondo hadi Nyakanazi nikaribu 100kms.
  12. N

    PC yangu ina tatizo hili "Plugged in, not charging"

    Same problem also I am experiencing with my PC.What are solutions JF thinkers?.
  13. N

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Lo! hata Dr.Slaa Kawa wa hivi?.Kama Taifa wanyonge hatuko salama tena. Ni mtu tulio wengi tuliamini alikuwa na utofauti kabisa katika kusimamia utetezi wa haki za wanyonge. Kama naye amekuwa wa hivi basi ni wazi tunarudi kwenye siasa za mfumo wa chama kimoja kama harakati za serikali ya awamu...
  14. N

    Awamu hii naona unyanyasaji wa kiwango kikubwa zaid

    Kuna tatizo linatunyemelea.Juzi meneja wa Kampuni ya Meli ya Nyehunge aliwekwa ndani Kituo cha Polisi idara ya Marine kwa amri ya Mkurugenzi wa SUMATRA Mkoa wa Mwanza kwa Sababu zisizojulikana.Hali hii inasambaa karibu kila kona ya nchi.
  15. N

    Mauaji yanayoendelea Kibiti, Pwani: Maoni, Ushauri na Mapendekezo ya nini kifanyike ili kuyatokomeza

    Only in our country where a Regional police commander can daily make such simple statement to the public and then still he be sure of remaining in the office.
  16. N

    Walinda amani wa DRC na tuhuma za ubakaji

    Ni kosa la umoja wa Mataifa mbona mambo ya Congo yako wazi tu.Ni vigezo gani wanatumia kuchagua nchi kupeleka wanajeshi wake kwenye jeshi la Umoja huo?.Congo kila mtu aliye na madaraka au Tajiri ni Mungu wa eneo husika na hii iko kila sehemu wala haihitaji utafiti.Easy wealth accumulation and...
  17. N

    Magari ya Tanzania yamekamatwa na Serikali ya DRC CONGO

    Taarifa kutoka kwa Madereva wa Tanzania wanaorudi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinaeleza kuwa Kuna malori mawili ya Kampuni ya Primefuels Tanzania yanashikiliwa na Serikali ya Jimbo la Kivu kusini katika mji wa BUKAVU kwa sababu na makosa ambayo hayajaeleweka. Madereva hao wanasema...
  18. N

    Huu ndio muonekano wa ndege ya kifahari ya Boss wa Barrick aliyoitumia kuja Tanzania kumaliza skendo

    JF members wote wa Tanzania wa kizazi hiki msijilaumu tumeshakosea na tayari historia imeshaandikwa vizazi vijavyo vitatusoma madarasani na kutufania Mitihani yao.Kama Bunge letu ndiyo hilo la akina Vibajaj maana yake ndiyo Think tank wetu wa kizazi hiki hatuna sababu ya kulalamika sana tayari...
  19. N

    Ningemweka Rais Magufuli kwenye list ya wazalendo kama angefanya haya

    Yote haya ni matokeo ya kuwa na chama tawala kinachoongoza nchi kwa njia za ghiriba.Ni hizi pesa za wizi wa raslimali za Taifa ndizo zinazotumika kununulia uongozi.Hakuna jipya bali mwendelezo wa taratibu ovu za Chama.
Back
Top Bottom