Search results

  1. S

    Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba....

    Hii kauli kwa kweli ina ukakasi mkubwa san.Inatakiwa isafishwe ili wengine wasije wakaitumia vibaya.
  2. S

    Iran imeteka meli ya Israel ikiwa na shehena ya mizigo

    Israel bila Marekani ni kama mbwa mchamga aliyefiwa na mama yake.Anaweza hata kunyonyeshwa na Mbuzi jike.Hata mtoto mdogo asiyekuwa na akili anajua kuwa Iran ina uwezo wa Kuipiga Israel ila Marekani inaweka kitisho ili Iran isifanye hivyo.
  3. S

    BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

    Wamechooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooka !
  4. S

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Kwanza mtambue tu kuwa sisi wote ni ndugu dini hizi zimekuja tu.Wakristo wao sala zao ni Jumapili kwa jumapili au Jumamosi kwa jumamosi tu.Ndugu zetu Waislam wao amri yao ni sala tano kwa siku na sala hizi hazikuanzia Coco beach.Sasa kuna ubaya gani wakawa na Msikiti wao pale unaoeleweka kuliko...
  5. S

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Tanzania Kuna ushamba uliokithiri especially kwa baadhi ya watu wanaodhani kuwa wao ndiyo binaadam peke yao na wenye akili.Kuna wakati mtu anakataa kitu ambacho hana ujuzi nacho.Nakumbuka DP world.Watu walitoa mimacho na mapovu utafikiri wana kifafa.Vitisho kibao.Sasa hivi siwasikii tena.Hebu...
  6. S

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Acha ujinga basi NYONYO.Kuna wanafunzi Waislam wamesoma vyuo vya kidini kama University of Arusha (UOA),chuo cha kiasbato.Pale wanafundisha baadhi ya masomo katika shahada zao ambayo ni ya kiimani na wanafunzi Waislam wanasoma na wanafaulu.Sasa wameenda wapi.Si wapo Tanzania hapahapa tena...
  7. S

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Hii tahasusi imekuja kwa kuchelewa.Uislam una mfumo wake wa maisha mpaka na sheria zake na hili linaeleweka.Uislam una mfumo wake wa kiuchumi na kibiashara unaojumuisha kuuza na kununua pamoja na mifuno ya kibenki ambayo haitozi riba na hili katika nchi yetu siyo geni kwani mifumo hiyo ya...
  8. S

    Kwa kauli ya Rais Samia kwa Hussein Mwinyi, Je kuna fukuto ktk Familia ya Hayati Mzee Mwinyi?

    Kufiwa kunauma sana lakini Abdullah sio wa kulia hadharani kivile akizingatia kuwa Baba yake hajafa na umri mdogo na kwa hakika Allah kamjaalia umri mzuri.Aidha kulia kule labda ni kuhemewa na umati ule ambao anaona umewapa heshima ya pekee au kama mleta mada anavyosema kwamba labda kuna jambo...
  9. S

    Wanu Hafidh Ameir Ashiriki Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Pamoja la ACP-EU

    Domo refu kama chupa kazi umbeya tuuu !!!
  10. S

    Vifurushi vyetu vinapotea shirika la posta

    Kuna mazingira ambayo hayaeleweki katika shirika la Posta hapa Dar es salaam.Kutokana na maendeleo yaliyopo sasa hivi ya kiteknolojia, Kuna bidhaa ambazo tunanunua kwa njia ya mitandao kutoka sehemu mbalimbali duniani. Baada ya kukamolisha taratibu zote za kimalipo,bidhaa inatumwa huko...
  11. S

    Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

    Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo. Je, kitu gani...
  12. S

    Israel yasema Mateka waliokuwa wanashikiliwa na Hamas Wote wamekufa!

    Kupoteza mwelekeo.Tunaongea mashariki ya kati wewe unaongelea mambo ya sudan
  13. S

    Hivi wanawake shida ni nini lakini?

    Sasa jameni acheni tena muache hata uongo.Sasa matako anayachukuaje ?
  14. S

    KKKT imakinike sana na serikali ya CCM ya sasa hivi

    Next level to your church but not to the government.
  15. S

    KKKT imakinike sana na serikali ya CCM ya sasa hivi

    Manatoa sifa za bure na ujinga na hata upuuzi.Hilo kanisa unalosema ni zaidi ya serikali halina ubavu wa kuiyumbisha serikali na wameshaambiwa hivyo.Ni maneno tu ya kujisikia na kujigamba na feeling za superiority complex lakini mbele ya serikali ni ngojera na mashairi tu wanaimba. Wakati wa...
  16. S

    Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

    Hiyo paragraph ya tatu inaeleweka.
  17. S

    Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

    Sanga ni mmbea tu kama Prof. Janabi
  18. S

    Maoni: Thobias Mwilapwa apewe Ukatibu Mkuu wa CCM

    Mtahangaika sana , hii kazi ni ya RC chalamila.
  19. S

    Boss wangu amemtolea mahari mwanamke mwingine; naumia sana

    Acha ujinga. Dua la sampuli hiyo Mungu hapokei. Wewe ulikuwa unazini na boss wako halafu unajisifia kumpa penzi la uchafu. Kaa kabisa mbali naye usije ukaitia najisi mipango ya ndoa yake takatifu. Na hili liwe ni fundisho kwa wote wanaofanya machafu kama wewe na mlaaniwe. Mwenyezi Mungu ambariki...
Back
Top Bottom