Search results

  1. frema120

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Nimekuwa ndani ya chadema tangu miaka ya 1990 mpaka sasa, kilichofanyika leo pale bahar beach sijitambui mpaka sasa!!!. Maswali. 1. Wakat Lowassa anatangazwa, Dr.slaa, Lissu, Mnyika, Baregu n.k mhimu, walikuwa wapi? 2. Tukio kama hilo kwanini high table wakae wenyevit wa ukawa baada ya...
  2. frema120

    Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

    Kama leo umejua hilo asante
  3. frema120

    Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA

    Njeru Kasakaaaaaaaaaaaa
  4. frema120

    Walemavu wafunga barabara makutano ya Uhuru na Kawawa wakipinga kuvunjiwa vibanda vya biashara

    Nimepata taarifa kuwa, umoja wa walemavu Tz umezuiwa kwa mkuu wa mkoa wa Dar ukielekea magogoni. Wamelala na kufunga barabara, na wameahidi kulala hapohapo mpaka kieleweke Mwenye ukweli zaidi lete habari. CHANZO: Mtumishi Mkoa.
  5. frema120

    Nanunua Hela na Dollar mbovu

    Bid and ask ya huko, haiendani kabisa na hapa mkuu.
  6. frema120

    Nanunua Hela na Dollar mbovu

    Sheria hipi mkuu?
  7. frema120

    Nanunua Hela na Dollar mbovu

    Nikiwa kariakoo, nikajikuta nikipitiwa na kipaza sauti kikiimba wimbo huo, nikashituka sanaaaa. Kwani wanapeleka wapi hizo pesa, na inakuwaje wanunue pesa kwa pesa? sheria zinaruhusu kuchezewa hela kwa njia hii.
  8. frema120

    Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

    Mchafu kweli, hivi huyu ni bint au mmama.
  9. frema120

    CCM yatoa ratiba mchakato wa Uteuzi wa wagombea. Vikao kuanza 18 - 23 Mei, 2015

    Ngoja tuone mwisho wao, lakini hakuna kiashiria chochote za uchaguz mpaka sasa.
  10. frema120

    Picha ya Zari na pedeshee Katunzi, Diamond isikuumize kichwa

    Weka picha hapa, acha blah blaha wewe
  11. frema120

    Happy Birthday Mzee Ally Hassan Mwinyi, Atimiza miaka 90

    Bado anadai huyu mzee, ataishi tu.
  12. frema120

    Happy Birthday Mzee Ally Hassan Mwinyi, Atimiza miaka 90

    mzee yupo vizuri, na wake wawili. Happy birthday mzee mwinyi
  13. frema120

    Hakuna anayeitwa bundi katua CHADEMA Kigoma: Ukweli kuhusu Ally Kisala

    Asante mkuu, niPM no yako ya tigopesa tugawane zawad...umeongea point nzito sanaaa.
  14. frema120

    Happy Birthday Mzee Ally Hassan Mwinyi, Atimiza miaka 90

    Kwa pamoja tumpongeze na kumtakia heri na maisha marefu, mzee wetu na rais mstaafu wa Tz kwa kufikisha miaka 90 leo. Uwezi amini ukimuona, bado anadai sanaaa. Happy birthday Mzee mwinyi.
  15. frema120

    Hii kali: Foleni toka Tazara mpaka External Mabibo

    kutoka mabibo to tazara ndio shidA, but tazara to mabibo hakuna tabu nanimepita huko.
  16. frema120

    Hii kali: Foleni toka Tazara mpaka External Mabibo

    Flyovers kila sehemu korofi itapunguza.
Back
Top Bottom