Search results

  1. M

    Jina la sim card yako kwenye fb..

    Wadau wa Kigamboni leo mida ya saa tisa alasiri mbunge wa Kigamboni anategemea kuhutubia wakazi wote wa Kigamboni katiak kiwanja cha Machava................
  2. M

    Sakata la nauli za vivuko: Magufuli asema asiye na nauli Sh. 200 apige mbizi

    Jamani watanzania wapenda amani na mnaopendana je, msukuma guta ataweza kulipa 1,317,600/= ili aweze kuvuka kivuko cha kigamboni kwa mwaka mzima(3600 x 366) ???
  3. M

    Sakata la nauli za vivuko: Magufuli asema asiye na nauli Sh. 200 apige mbizi

    Ya Mungu mengi bado najiuliza kweli au.....................
  4. M

    Mr Magufuli atua Kivukoni, kuzuia nauli mpya?

    Kwa kwawaida serikali haifanyi biashara.Je kwa nyongeza hizi za gharama za vivuko ni biashara au ni huduma kwa jamii au watanzania wanyonge kama wa kigamboni waliokata tamaa na wasiojua kesho yao iko wapi.
  5. M

    Mr Magufuli atua Kivukoni, kuzuia nauli mpya?

    Kasingo ninakushukuru kwa kutembea na kuona mengi.Hivi kenya wao wana uwezo gani hadi kuweza kuwasaidia wananchi wake kuvuka bure????.Ni kweli Mombasa hakuna kulipa nauli.Kazini unalipa kodi (PAYE) wakati huo huo kila unachonunua unalipa VAT.Hii inamaanisha basi mtanzania hana haki ya kutembea...
  6. M

    Mr Magufuli atua Kivukoni, kuzuia nauli mpya?

    Jamani tunaelekea wapi Tanzania.Mimi ninaishi Kigamboni.Swala la kivuko ni aibu tupu.Asubuhi kuna baadhi ya watu wengi wanapita hawalipi wanapovuka.Kwa viongozi wa jeshi na polisi ninakubali.Je, watu wengine inakuwaje??? Gharama ni kubwa mno.Kwa hali ya kawaida watanzania walalahoi hujaribu mara...
Back
Top Bottom