Search results

  1. Quanta

    CCM yaipa CHADEMA ushindi wa moja kwa moja Kata ya Saranga Kimara kabla ya uchaguzi!

    Ndugu #tramadol asante sana kwa kulitambua hilo. Nikijikumbusha kidogo naona wewe ni mmoja wa washangiliaji wa sera za Chama chakavu but recently ulijicommit kutochangia mada Jf. In fact lazima jamaa wamegusa maslahi yako and that's how pity pain is felt. Ni vizuri ungewaambia wale...
  2. Quanta

    Xe.com yafuata nyayo za bloomberg yaendelea kuihujumu shilingi ya Tanzania

    Tatizo ni moja kaka. Wengine tunataka kununua vitu oversees na chakusikitisha ni kwamba tunaambiwa kwamba applicable rates ni za xe exchange. It's real headache. Lazima BOT waseme ukweli
  3. Quanta

    Kashfa za Rushwa zatinga UVCCM, Wagombea wafuatao kukiona cha moto

    Akili za CCM ni ngumu sana kuzielewa. Ikitokea mkubwa wao kama wa Arusha kanunua political figures from opposition wanabishaaaa na mapovu juu. Sasa ngoja mtu atoe rusha kwenye vipost vyao utaona wanavyokiri chama kuoza. But mkuu #PaganAmum kwa kuwa na wewe ni mgombea nakushauri utoboke mfuko...
  4. Quanta

    Baada ya Serikali kuzuia mzigo wa almasi Airport, Rais wa kampuni ya Petra Diamond atua Tanzania kutuliza mambo

    Pumba zipo but tunapoona MTU ameleta sincere points worth of discussion tunakuwa na wigo mpana kudiscuss topic. Its all about LOGIC,the same as inteligency.
  5. Quanta

    Baada ya Serikali kuzuia mzigo wa almasi Airport, Rais wa kampuni ya Petra Diamond atua Tanzania kutuliza mambo

    Pamoja na makosa machache ya Yericko Nyerere lakini kuna vitu vingi vya ukweli ambavyo yule kijana alihoji ikiwepo ni kwa namna gani MBIA anaibiwa?thamani ya 19.5 KGS?na vingine vingi.Thanks mkuu Barafu
  6. Quanta

    Kuna tofauti gani kati ya Anna Makinda na Baleka Mbete?

    Sijaona tofauti ,mifumo ya bunge la Tz na S/Africa inafanana kabisaaa. speakers wanatetea vyama vyao afu S/Africa Mbete anawaogopa sana wapinzani wazungu toka kwenye vyama vidogo vya upinzani kuliko anavyoihandle EFF . Hakuna tofauti ya Pinda na akina Ramaphosa.
  7. Quanta

    CHADEMA yatikisa Arusha, Mb. Nassari azitambulisha Ambulance 2 kwa jimbo lake

    Saa tatu asubuhi Lema atatangazwa mshindi maana wana ARA tunahamu na hao mafisi
  8. Quanta

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    Ki ukweli kijana mwenzangu huwa tunasikia unanyemelea jimbo moja huko Mara lakini sijawahi kukuona ukiwa kwenye harakati KIMATENDO katika jimbo hilo ,pole sana ndugu yangu kwa kutaka kula bila kufanya kazi.
  9. Quanta

    Samwel Sitta atangaza nia ya kuwa Rais 2015-2020

    Huyu mzee aliwatukana mamba kabla ya kuvuka mto.
  10. Quanta

    Mambo sita aliyoyafanya JK, Katika kupambana na ufisadi nchini ( iliyokamilika) 2

    Chezea rais wa bongo wewe. Hao ndo CCM bana
  11. Quanta

    Nimeanza kupata mwanga kidoogio juu ya maana ya maamuzi magumu as per EL!

    Yaani muda wote takribani nusu mwaka ndo umegundua Leo tangia uchaguzi ufanyike kwamba yule jamaa Ana maamuzi magumu? hahaha! pendeni maamuzi sahihi kuepuka janga la CCM na vifaraga vyake.
  12. Quanta

    Gari 9 Zatumika Msafara Wa Dr Slaa: Haya ni Matumizi Sahihi ya Ruzuku?

    Join Date : 20th April 2015 Posts : 18 Rep Power : 304 Likes Received25 Likes Given0 unanipa shida kuamini!
  13. Quanta

    DC wa Kinondoni atenga siku maalum ya kusikiliza kero za wananchi

    Kweli buku 7 zinakutesaga wewe
  14. Quanta

    UKAWA hawaelewani, Maalim Seif avunja rekodi ya kushindwa

    The tittle doesn't reflect on the contents, so why trying to convince people read your nonsense thread? shame on you GAMBA
  15. Quanta

    Lowassa atahadharisha magadi soda Engaruka

    I Know you are best in insulting people though politically a poor boy who stands supporting belly politics while you forget that your 1st,2nd& more generations to come will suffer for your nonsense involvement in abbiding to fraud. My take, try to see further for you will cease no longer but...
  16. Quanta

    JK awashushua Arm Chair Generals/critics wa JamiiForums

    Tatizo tuna mkuu wa kaya mrafi, ndo maana hata watendaji wake wamemuiga
  17. Quanta

    Faraja Mlelwa, diwani mteule CHADEMA Mlangali/Ludewa analo la kutufundisha

    Hongera kijana god blec u,god blec cdm
  18. Quanta

    Jiwe la Tawi la Kingstone CDM lavunjwa-Morogoro

    cdm member relax & fight 4 your country,i know together we can make mr.scales(magamba) burial
Back
Top Bottom