Search results

  1. A

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Kweli nimeamini ukishangaa ya mussa utayaona ya filauni, na huwa ni shida kubwa akili ndogo kuongoza akili nyingi!!! Kitu ambacho TBC1 walichokifanya hakifai kufanywa na television ya Taifa jambo walilolifanya walitakiwa kufanya radio uhuru, TBC wanatakiwa fahamu kuwa miaka inaenda na mambo...
  2. A

    Wananchi wa Tanzania na Sports betting

    Cyo kila kitu kinachofanyika nchi zilizoendelea nasi tuige tukiwa tunakubali kilakitu tutajikuta mahara pabaya sana!! Tukubali ama tukatae hii sports betting itatufikisha siko, wenzetu wamataifa ya nje wengi wanaocheza mchezo huu huwa ni watu waliomatajiri hivyo basi hata pesa wanazozitumbukiza...
  3. A

    Wananchi wa Tanzania na Sports betting

    Wadau hii sports betting ni janga la kitaifa tena lisipochukuliwa umakini litakuwa Bomu, Ukijaribu kufatilia huu mchezo utagundua kwa nyakati hizi umeshika kasi sana hasa kwa vijana na watu wa makamo, Hii inapelekea uvivu wa kutofanya kazi kwa wale ambao wanafanikiwa na kuua mitaji ya biashara...
  4. A

    Nimeitwa kwenye Interview TICTS

    Mkuu tujuze tafadhali
  5. A

    Nimeitwa kwenye Interview TICTS

    Wamekupigia simu lini? Mana mm nilituma application.
  6. A

    Nitakabidhi nchi kwa CCM: JK

    Itawezekana kuacha nchi mikononi mwa ccm kama hili Taifa nikwaajili yao!!!!Jambo la msingi2 wanajaribu kujipa moyo mana mdomo aulipiwi
  7. A

    Regia Mtema is No More!

    The good die young!!!itz real pain...RIP hon regia mtema
  8. A

    Babu Wa Loliondo Alikuwa Mgonjwa Wa Akili

    Hivi na zile meli za wagonjwa kutoka ughaibuni zilifika kweli bongo land kuja kupata kikombe cha babu au ndo ilikuwa 1ya uchizi
  9. A

    Serikali ya JK ilipwaya 2011; Mawaziri waliumbuana hadharani

    Ndugu acha ushabiki ucokua na mana!!andika habari yako uonekane wewe kweli ni great thinker,hivi kweli uisifie serikali ya kikwete kwa maisha haya ya sasa ya mtanzania?wake up 2jenge nchi na upya
Back
Top Bottom