Search results

  1. M

    CRDB BANK si Bank ya kuiamini kabisa!

    Watanzania tufanye kazi tusongembele tuache uzushi usio na tija na kupoteza muda. Tujadili tufanye nini kuinua sekta ya kibenki nchini badalala ya kuharibu mambo mazuri yanayofanywa na Beki ya CRDB. Hatuwezi kujiuliza mashirika mangapi yalibinafisishwa. mangapi yanafanya vizuri naipongeza sana...
  2. M

    CRDB BANK si Bank ya kuiamini kabisa!

    Jamani watanzania muige utamaduni wa kupongeza maendeleo yanaofanywa na watanzania wenzenu. Tabia ya kupenda kuona watu wa nje ndo wanaweza haina msingi n Kama Tija katika maendeleo ya Taifa letu. CRDB Bank benki ya kizalendo inatuhudumia kwa ubora wa hali ya juu na umakini leo mtu anatoka huko...
  3. M

    CRDB BANK si Bank ya kuiamini kabisa!

    CRDB Bmna bank ni Benk inayotusaidia kwa nanmna nyingi ina misingi ya uzawa kuinua maisha ya watanzania na uchumi wa tanzania kwa ujumla ni Benk iliyosikiliza mteja kwa hiyo siyo vizuri kunyeea kambi. Acha uzushi tujenge nchi yetu. tusivuruge miundombinu ya kujenga nchi yetu
  4. M

    CRDB BANK si Bank ya kuiamini kabisa!

    Mimi kama mtanzania mwenzoko nini mashaka na malalamiko yako yanaelementi za kizushi
  5. M

    CRDB BANK si Bank ya kuiamini kabisa!

    Huu ni uongo mkubwa, kama ulishindwa kuhudumiwa na mfanyakazi mmoja kwa nini hukutafuta mkubwa wake!!!!!!
  6. M

    CRDB BANK si Bank ya kuiamini kabisa!

    Nashangaa CRDB Bank ni Bank pekee inayotoa world class Call Center ambayo inafanya kazi saa ishirini na nne kushugulikia malalamiko ya wateja. Mimi nilikuwa nje ya nchi nilipata tatizo nilisaidiwa ndani ya masaa matatu. Mbona wewe hukusaidiwa.
  7. M

    Big up crdb kwa simbanking

    CRDB IT Team should resign kwa kipi hasa? kama product ilishindikana sokoni then wakaamua kuja na nyingine ili kukidhi mahitaji ya wateja hicho ni kitu cha kawaida tu mzee.NMB ndio ina high amount of fraudlents through Pesa fasta, acha kupoteza ukweli, kwani unafikiri hatujui stori za wizi huo...
Back
Top Bottom