Search results

  1. W

    Rais Magufuli: Serikali kupitisha Fedha zote Benki ya NMB

    Ikumbukwe kabla ya mwaka 1991 kulikuwa na benki 3 tu NBC, PBZ na CRDB ikaonekana ukosefu wa ushindani ndicho chanzo cha kuzorota kwa Mabenki Tanzania. Hivyo ndipo I kaja Act ya Mabenki ya mwaka 1992 moja ya pingele ni kutuhusu mabenki mengi ili ushindani wa kweli uwepo pia serikali Ikiwemo Benki...
  2. W

    Rais Magufuli: Serikali kupitisha Fedha zote Benki ya NMB

    Hivi kati ya NMB na CRDB ni ipi benki ya kitanzania zaidi?, mnajua share composition za hizi benki mbili?. Haya ni masuala ya ni masuala ya kitaaluma yanayohitaji upembuzi wa Ki-Uchumi na Uwekezaji na Fedha/finance.
  3. W

    Big up crdb kwa simbanking

    Juzi nilisaau kadi yangu ya TemboCardMasterCard nyumbani, wakati huo pia nina shida na pesa, ikabidi nihamishie pesa kwenye akaunti ya mshkaji kupitia njia ya Simbanking. Kisha yeye akauchota kwenye akaunti yake palepale na kunipa, pale! pale!. Du! Simbanking ni kiboko, Sijaonaga...
Back
Top Bottom