Search results

  1. R

    Ndani ya mahusiano. . .

    dada lizy ubarikiwe sana kwa somo hilo ninapenda mawazo na mafundisho unayotoa mara kwa mara.
  2. R

    Wanaume mnajisikiaje kumtongoza mwanamke nakukubalia hapo hapo

    haya mwenzetu wewe hua unapataje kama haujui kutongoza au unavuta kama wanavyo fanya wenzako huko mlimani.
  3. R

    Nisaidieni kumuokoa mke wangu mtarajiwa

    Kaka kama hiyo one point two unaiona kubwa endelea nae halafu tutakuzika ndani ya mwaka huu unaomba ushauri wanini kwa kiruka njia kama huyo hebu muache haraka sana kabla hajakuletea magonjwa.
  4. R

    Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

    asante kwa taarifa endelea kutufahamisha yanayojiri huko wenzio tumeshindwa kufika ila tupo pamoja.
  5. R

    Mwaka Mpya na Maisha Mapya... Ooh, Glory to God!

    hongera sana dada mungu awape maisha mema katika ndoa yenu.
  6. R

    Kuna dada humu nimetokea kumpenda vibaya mno

    kama unaogopa kumwambia sasa unataka tukushauri nini, halafu unampenda ulimuona hata siku moja? funguka kidume.
  7. R

    Regia alimkwepesha pacha wake na ajali

    mungu akupe moyo wa subira dada remija katika kipindi hiki kigum neno la mungu linasema tushukuru kwa kila jambo basi nasi tushukuru kwa hili pia bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
  8. R

    Ngono maofisini

    sio mkavu tu tena atamwambia mume wake "dia nimekumic" u
  9. R

    I love my wife but...

    halafu huyu mshikaji sijui vp eti angekua mkewe pangechimbika kwa hiyo mkuki kwa nguruwe kwa binadam uchungu eeh!!!!!!!
  10. R

    Jamaa kamuoa dada yake!

    kwa hiyo na wewe unaweza kuoana na mtoto wa uncle wako.
  11. R

    Mke kawa mkatili kwa mumewe

    Huyu mwanamke atakuwa lilekabila ambao hua wanawatanguliza waume zao kuzimu ili wao waachiwe mali.
  12. R

    Wanawake iweni makini

    Utoaji mimba ni hatari sana inaweza kupelekea kutopata mtoto kabisa!!! sio wapunguze waache kabisa, ninapenda sana koment zako dada lizzy.
  13. R

    Kaka na Dada wapeana mimba

    changieni mada husika wala msiitafasiri biblia kwa jinsi mnavyoelewa ninyi, katika garika nuhu aliingia yeye na mkewe na watoto wake na wake za watoto wake ndio maana waliendelea kuzaliana.
  14. R

    Kwaherini wenzangu!

    pole sana ila tungekufanyia part ya kukuaga ingekua nzuri sana kwani zawadi ambazo tungukupa ungekwenda kupunguza deni kwa huyo jamaa labda hasira yake ingepungua.
  15. R

    Wanawake ndio wajibu hapa: ungefanyaje Kama unakutana na kisirani hiki…………?

    sitamuuliza tena juu ya chakula hata hivyo atakuwa ana matatizo huyo ninaamini hata humo ndani amani haitakuwepo sio upande wa chakula tu hata mambo flani.
  16. R

    Jamani wanawake mtatumaliza

    asihame kwani si alipa watakuwa pamoja katika shida naraha aendeelee nae tu.
  17. R

    Tusipodhibiti haya, nchi haitakuwa salama

    Ni kwli dada lizzy unachosema, inapofikia hapo mimi huwa nakosa maana au nini majukumu ya hivyo vyombo vya dola kwakua hawafanyi yale majukumu yao wanao takiwa kufanya hali hiyo ndiyo ina pelekea wananchi kujichukulia sheria mkononi matokeo yake ndio haya ya watu kuuwawa kama wanya wakati sheria...
  18. R

    Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

    Nazani sisi hatutakupa ushauri zaidi yakukutaka uachane na hiyo nyumba ndogo.
  19. R

    Binti akatoa ile Mimba.

    1. kuwa mkimya sio sababu kutokufanya madogol 2.kuolewa/kuwa na mume ni heshima kwa familia na jami kwa ujumla
  20. R

    Hivi mapenzi sometimes ni uchizi?

    hauwezijua huenda kwa mkewe kunamapungufu ndio maana anatafuta kulikonaufundi zaidi.
Back
Top Bottom