Search results

  1. Watunduru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji used iPhone XR kama unayo nicheki 0763802014 tuyajenge. Nipo Mkoani
  2. Watunduru

    Car4Sale Nahitaji pikipiki used

    Kama una pikipiki used na uko tayari kuuza kwa laki saba nicheki 0766098835
  3. Watunduru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji iPhone 6Splus gb 64 mwenye nayo anicheki pm tufanye biashara
  4. Watunduru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji iphone 8 iliyo katika hali nzuri. Kama unayo nicheki 0763802014 Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  5. Watunduru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Binafsi sifahamu kuhusu Apple za uk na US bali kuna fake iPhones ambazo kwa macho na kama sio mtumiaji mzoefu huwezi kutofautisha. Kwa uelewa wangu IPhone takriban zote designed by Apple in California,assembled in China. Kutambua iphone fake ni rahisi sana.ziko njia nyingi as kutambua lakini...
  6. Watunduru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Battery ya iPhone SE mwenye nayo tuwasiliane 0763802014.
  7. Watunduru

    Rushwa Elimu ya msingi yawagharimu watoto wasio na hatua Wilayani Tunduru

    Ni majonzi na masikitiko makubwa kwa wazazi/walezi wilayani Tunduru baada ya watoto wetu kufutiwa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba kwa sababu ya kile kinachosemekana kubainika kwa udanganyifu katika mtihani. Jambo hili linasikitisha zaidi kwa kuwa wanaadhibiwa wasiohusika huku wahusika...
  8. Watunduru

    Kwa aliyeko Tunduru,jipatie flash na memory card 4gb,8gb,16gb kwa bei nafuu sana.

    nitafute ktk 0763802014, Nipo Tunduru/Ruvuma.
  9. Watunduru

    Kwangu, Zitto Mbunge wa kipekee mwaka 2012

    huku ni kukosa adabu na pengine chuki binafsi.
  10. Watunduru

    Serikali `yasalimu amri` kwa Zitto , Yatamka kuzikubali hoja zake

    Chama chama chama,hivi we unadhani watanzania wa leo wanakalia vyama?au unadhani kura ambazo dr slaa alizipata 2010 zilitokana na wanachama wake tu?mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.kama hamtambui kwamba zitto ni kati ya watu muhimu sana kwa chadema basi endeleeni kumbeza lakini endapo...
  11. Watunduru

    munaotafuta wachumba jf jihadharini na chuma ulete.

    wadau kwa nia ya dhati niliweka bango la kuhitaji mchumba hapa jf na kweli nilipata,kwa muda mfupi tu baada ya kukutana nilibaini hatuwezi kuishi,na kwa kuwa lengo ilikuwa nipate mke basi nikaamua kujinasua mapema ili nisimpotezee muda wake na mimi nisipoteze lengo langu la kupata mke wa ndoa...
  12. Watunduru

    CHADEMA ni DHAIFU sana kiuongozi ngazi za Wilaya na Mikoa!

    Hawawezi kubadilika kwa kuwa hawbmbiliki,majukumu yote ya chama hata ktk ngazi ya chini kabisa wanayakumbatia wao,tena wanaamini huko mikoani na mawilayani hakuna anaeweza chochote ni wao tu kila kitu.kwa ujumla ni wabinafsi sana.
  13. Watunduru

    Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    Ndugu yangu zitto usivunjike moyo,jitihada zako watz wenye akili na busara tunaziona na kuzithamini,lakini kumbuka mbwa hata ukimtandikia jamvi akalie ye atakalia mkia wake tu.
  14. Watunduru

    Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    Mi si msemaji wa zitto bali inashangaza kuona watu wazima munakuwa na akili za kuazima,we kwa akili yako upinzani ni uadui na uhasama?kaeni mutulie democrazy haitafua dafu kwa democracy,na chuki zenu binafsi dhidi ya zitto ni kama mbolea kwake maana ma great thinker wanaanza kuhisi nyie ma...
  15. Watunduru

    Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    Nchi yetu sote hii We unataka kila kitu ufanyiwe?umeletewa muwa bado unataka umenyewe na ukatiwe?punguzeni chuki binafsi bana munatia kichefu na habari za slaa kila kukicha ilihali anatuulia chama tu,hebu muulize ruzuku waliyoisitisha mikoani inafanya kazi gani hapo makao makuu?au ndo...
  16. Watunduru

    Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    Umenena vema mkuu big up sana,tatizo humu kuna watu wamekalia kupinga chochote anachofanya zitto hata kiwe kizuri vipi kisa wanaogopa atapendwa na watu na atapokonya nafasi ya slaa ktk urais,ndio sababu unaona kila hoja wanamtukuza slaa tu.nawasikitikia kwa sababu wanatokwa mapovu kumpigania mtu...
  17. Watunduru

    Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    Zitto ana akili sana na hafanyi jambo kwa kukurupuka kama munavyotaka nyie vinyamkera ndio sababu pamoja na ujana wake hana skendo za kupora wake za watu au kutelekeza mke kwa hali hiyo anatosha kuwa Rais mtarajiwa Tanzania.
  18. Watunduru

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Kama hujaelewa rudi kwa mwalimu wako kasome tena.
  19. Watunduru

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    Una wivu wa kike kuhusu Ahmadiyya?basi katafute uraia ktk nchi nyingine,habari ndio hiyo.
  20. Watunduru

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    Mh ZZK tulio wengi tuko nyuma yako na tuko makini kwa kila linaloendelea,wala usipoteze muda wako kwa watu wachache waliodhamiria kukuchafua kwa chuki zao binafsi,piga kazi jembe time will tell.
Back
Top Bottom