Search results

  1. gambachovu

    Haya ndo matusi ya wabungeambayo spika ameahidikuwashitaki polisi

    Dah! Na yule wa Zanzibar naye ni balaa!
  2. gambachovu

    Msanii Linah apagawisha Washington DC

    Hata mi namwona mtu kama Prof Jay
  3. gambachovu

    iNgEkuWaJe hiLi LiaNguKie kWenyE fAmilia yaKo!!!

    Dingi hapo atakoma sasa kumtakia usiku mwema dogo!
  4. gambachovu

    Msanii mtuhumiwa anapozuru kaburi la msanii

    Baadhi yetu tunaangalia upande mmoja wa shilingi. Lakini kufiwa acha kabisa! Hata uwe mwanaume au mwanamke,na hata uwe kicheche au usiyetulia namna gani,kufiwa na mpenzi wako yule main,acheni kabisa! Huyo dogo yamemkuta makubwa kuliko umri wake. Msisahau marehemu alikuwa mpenzi wake. Msisahau!
  5. gambachovu

    Bima ya afya kutoka Tigo

    Mi nimepata message kuwa namba yangu imepewa ofa ya bima ya afya kwa mwezi mzima wa Aprili. Na nikapewa no niipige kwa maelezo zaidi. Huwa sipendi kusubscribe kiholela vitu nisivyo na ulazima navyo. Mtu atuelimihe kuhusu hili kwa kweli
  6. gambachovu

    Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

    Hii mada... imekaa kivijana zaidi..
  7. gambachovu

    Bomba la Gesi toka Mtwara kwenda Dar sasa kupitishwa baharini

    Jamani mnajadili tu kwa info mlizozipata kutokea wapi? mmeenda taasisi zinazohusika na mafuta na gas asilia? au mnaongeaongea tu... Ndiyo shida ya kuyapeleka mambo kisiasa hayo.JK mwenyewe alipata kuahidi kuwa patajengwa pwr plant Mtwara na kiwanda cha kuishughulikia hiyo raw gas kuwa umeme. Na...
  8. gambachovu

    Bomba la Gesi toka Mtwara kwenda Dar sasa kupitishwa baharini

    Jamani mnajadili tu kwa info mlizozipata kutokea wapi? mmeenda taasisi zinazohusika na mafuta na gas asilia? au mnaongeaongea tu... Ndiyo shida ya kuyapeleka mambo kisiasa hayo.JK mwenyewe alipata kuahidi kuwa patajengwa pwr plant Mtwara na kiwanda cha kuishughulikia hiyo raw gas kuwa umeme. Na...
  9. gambachovu

    Tamko la Jumuiya za Kiislam kuhusu mauaji ya Viongozi wa Dini na uchochezi wa Vyombo vya Habari

    Jinsi niipendavyo amani....... Niko radhi niage dunia peke yangu ili nyie wengine mtakaobaki mbaki na amani...
  10. gambachovu

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Kwani matatizo ya maji Ubungo yameanza awamu gani? Hii ya 4 ambako Mh Mnyika ni Mbunge ama....?!
  11. gambachovu

    Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

    Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi.. Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..
  12. gambachovu

    Lowassa anusurika kifo Morogoro

    Pole mkuu ENL..
  13. gambachovu

    Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

    I support the Mtwarans
  14. gambachovu

    Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

    Poleni sana wakazi wa Mtwara..
  15. gambachovu

    Download free JF application for Blackberry

    Kwangu nifanyeje maana naona options nne,ya review,recommend,na screenshotos. Labda na ya contact support tu basi.Ya kudownload siioni wakuu..
  16. gambachovu

    Fumuafumua: Jiji la dar linanuka

    Mnanikumbusha juzi usiku majira ya saa 2. Nilikuwa kituo cha daladala cha Ubungo kwenda Mwenge. Nikabanwa na haja ndogo, nikaona nivuke maana kule kuna giza na bonde.. Salaale,baada kujisaidia nilikamatwa na vijana wawili,mmoja ana kitambi,kwa kosa la kujisaidia sehemu iliyopigwa marufuku...
  17. gambachovu

    why idadi ya watu wanaokota makopo machafu na safi dar inaongezeka

    Ila wengine ni mateja kabisa.. Ni bora makopo yaokotwe kuliko kuchanwa masikio kina mama,kisa hereni,na kuporwa simu na wallet zetu. Hata bodaboda zimesaidia pia. Takwimu zisizo rasmi, zinadai kila siku ya Mungu,wanaingia jijini Dar watu 200 wageni kabisa wa jiji! Kuja kutafuta maisha...
  18. gambachovu

    Baadhi ya Meseji Zinazosambaa Juu ya sakata la GESI huko MTwara na Lindi.

    alex 2012 watu wa Mtwara wana hoja nyingi,ila kwa ufupi kabisa,wanasema ni ahadi ya Rais alipokuwa huko 2009,ya kuwa kiwanda cha kufua gas kuwa umeme kitajengwa Mtwara,na patajengwa mtambo wa high voltage wa kupeleka umeme kwa nyaya kwenda mikoa yote na nje ya nchi.Kwa hiyo si uchoyo kama...
  19. gambachovu

    Kwanini mikoa ya kusini iko nyuma kimaendeleo?

    Jaribu kujenga hoja yako vizuri. Nyuma kwa takwimu zipi..fafanua.. Ukiandaa hoja hiyo vizuri,andaa na kuhusu mkoa wa Kigoma pia..
  20. gambachovu

    Mkutano wa CUF kuhusu gesi wafana Mtwara

    Ndiyo maana ya uchaguzi. Unapewa dhamana na wananchi uwaongoze,na kuweka mifumo bora ya kuwaletea maendeleo,na kulinda rasilimali za Taifa kwa faida ya wananchi.
Back
Top Bottom