Search results

  1. salito

    Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Mdogo wangu,lea wanao achana na matatizo ya kujitakia.
  2. salito

    Series (Special thread)

    Hata mimi kiongozi,najionea chengax2 na matukio yalikosa msisimko...nakaribia kuacha kuitazama.
  3. salito

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Wapenda amani wenzangu ninataka kumkaribisha wife home kutoka safari anakunywa vostro wine..nataka nimchanganyie na fresh juisi....ni ipi itanoga zaidi?nataka ladha moromoroo itakayoamsha vilivyolala
  4. salito

    Jibu kama mtu ambaye UNATAKA ila unajifanya HUTAKI

    Ahh shemeji bwana unajua sana kunitia majaribuni,Ila acha leo nikupe ushindi wa jaribu hili kwa kuendelea kuwepo wepo.
  5. salito

    Binti yangu kaniandikia hivi, mnisaidie cha kumjibu

    Pole sana mzazi mwenzangu kwa changamoto hii ya malezi...lakini naomba pia nikupongeze kwa kufaulu kumfanya mtoto akuamini zaidi wewe mzazi wake ni jambo jema na unastahili sifa kwa hili. Huyu binti yetu kuna mambo mawili tu ambalo moja ni kweli 1. Tayari yupo kwenye mahusiano na kuna...
  6. salito

    Series (Special thread)

    Wakuu GOT mnastream wapi for free?napata tabu sana
  7. salito

    Series (Special thread)

    Jaribu the Legacies
  8. salito

    Series (Special thread)

    Asante nimetest nimepata lakini hakuna option ya kustream tu?maana kudownload kunachosha sana.
  9. salito

    Series (Special thread)

    Unaangalia kutokea upande upi kiongozi kwenye mega box au?
  10. salito

    CHEMSHA UBONGO: Kitu gani hakipo sawa kwenye picha hii??

    Mwanamama hapo anamimina chai kwenye sahani.
  11. salito

    Riwaya: Mkono Wa Chuma

    Ehhh madokta wapiga dili wanavihere here kweli kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  12. salito

    Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

    Jifunze kuthamini kazi za watu wengine,pia jifunze kushukuru pale unapopewa bure jasho la mtu mwingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. salito

    Ujasusi Sebuleni Kwetu

    Fresh,tusaidie namba yake tumcheki atuadd na sisi sio kesi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. salito

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Unaongea kishabiki maandazi sana.acha tukukaushie tu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. salito

    Karibu Silas furniture: Kwa mahitaji yako yote ya furniture (samani) za aina yoyote ile

    Mleta uzi naamini wewe ni fundi na mtaalamu kwenye mambo haya,Naomba unisaidie kunipa elimu kuhusu haya:- 1.Kati ya Mloliondo,Mkongo na Mninga mbao ipi ni nzuri zaidi kwa ajili ya milango na frem zake? 2.kiuzito imekaaje? 3.Uimara na ugumu wake? 4.Kipi cha ziada ambacho kinazidi wenzake i.e bei...
  16. salito

    Nyuma yako - Riwaya ya SteveMollel

    Mweee wapenda vya dezo tumetoswa....poa Mna steve acha tujipange kukutumia. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. salito

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Papa Mobimba, Nashukuru kwa maelezo safi lakini nina swali juu ya namba 1 hapo juu:- Je ni maambukizi yapi unayomaanisha?maana umeongea lugha ya kitaalamu nisiyoielewa na kama ni hospitali niombe aonane na daktari wa aina gani anaeweza kumsaidia?maana nimeshaongea na mtoa ushauri wake lakini...
  18. salito

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Shukrani mleta mada kwa uzi huu wenye kuelimisha, Naomba unielimishe yafuatayo binafsi nina mgonjwa wa HIV ambae namuhudumia kwa karibu na zifuatazo ni changamoto ambazo ameanza kuzipitia alipogundulika na maambukizi pamoja na kuanza dawa:- 1.Mkono na miguu ilikuwa inakufa ganzi na pia mdomo...
  19. salito

    Nyuma yako - Riwaya ya SteveMollel

    Man steve tunaomba uendelee kushusha burudani kiongozi.
Back
Top Bottom