Search results

  1. A

    Kikwete Huyooooo Botswana...sidhani hata anakumbuka yuko wapi?

    Ni mzee wa kutanua,mwacheni,si mlimpa.acheni ale kuku apendavyo!
  2. A

    Huu ndiyo utawala bora

    Nilishtuka na kuogopa sana juzi nilipopata taarifa kuwa askari polisi huko Songea wanauwa binaadamu tena watanzania wenzetu kwa risasi za moto. Ghafla nilijikuta napiga simu ovyo ovyo lengo nipate kujua kama ndugu waliopo kule wamesalimika na kadhia hiyo. Inashangaza polisi kuuwa raia tena...
  3. A

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Katika kipindi ambacho watanzania wakihangaika na wasijue cha kufanya huku wengi wao wakijilaumu kwa uamuzi wao wa kukipa ridhaa chama twawala mwaka 2010,maswali mengi najiuliza;hivi watanzania ni watu wa namna gani? wamelogwa na nani? maana wanashindwa kusoma alama na nyakati. Hali na maisha...
  4. A

    Wasomi wetu watakwenda wapi? serikali haiwezi kuwaajiri.Athari ya mfumo mbovu wa elimu.

    Inasikitisha idadi kubwa ya wasomi ama wahitimu wa viwango mbalimbali vya elimu wamezagaa mitaani na kuwa ombaomba.Hali hii inatokana na serikali kushindwa kuwaajiri.Tatizo ninini? jibu ni rahisi,mfumo wetu wa elimu unategemea wasomi waajiriwe na serikali tu.Twaelekea wapi sasa? nini tufanye...
Back
Top Bottom