Search results

  1. M

    Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Haya mawazo ni ya kijinga sana. Haiwezekani uwe na uhitaji wa iphone 5 kisha uwe na offer ya nokia ya tochi. Migomo inafanya na walimu wetu kutokana mifumo dhaifu iliyopo.
  2. M

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Nafikiri njia bora zaidi ilikuwa ni kumwambia muhusika na sio kuja kulalamika humu jamvini. Pia mie nashindwa kuelewa kama ni kweli dada huyu anaweza fanya kama mnavyomlalamikiwa kwa sababu wisemen wangeshamwondoa kwenye hiyo nafasi.
  3. M

    Wassira; udini hapa nchini uliasisiwa katika uchaguzi mkuu 2010

    Hawa usalama wa taifa wanafanya kazi nzuri ila wakati mwingine wanatumika vibaya
  4. M

    Arusha kuchafu sana

    mmm!!! laigwanani safisha nyumba yetu.
  5. M

    Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za ikulu

    Tanzania jina zuri mie nakupenda sana. Mungu atuepushie haya mabalaa na mikosi inayotuandama.........
  6. M

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA ya March 16, 2013

    mie nashindwa kuelewa kuhusiana na maandamano. kwani ni lazima polisi watoe ruhusa kwa maandamano ya amani.
  7. M

    Mambo yanayonifanya niipende CCM (vitu walivyotekeleza)

    Acha makelele ya chura. kwenye red ndo umeshemsha kuliko maelezo. technologia na vyuo kaleta KIkwete!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, hata kondoo analipinga kwa nguvu. ardhi ya rutuba safi ipo Tanzania hivyo huwezi linganisha na majirani zetu kama Kenya. -uchumi wa Tanzania unazidi kudorora kila...
  8. M

    Binti yatima wa miaka 14 Aanza kusoma Chuo Kikuu na Miaka 14 Baada ya kujisomea nyumbani

    wow! inapedeza sana. nafikiri hapo kwenye rangi ungeweka ZRA ya Zimbabwe
  9. M

    Msaada - sceen display ya laptop inatetema

    Jameni wandugu naombeni msaada, screen display ya hii laptop haijatulia kabisa. Maandishi yanatetemeka mpaka wakati mwingine screen inakuwa nyeupe kabisa. Je tatizo laweza kuwa nini?
  10. M

    Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida

    acha unafiki weka tuone mapema.... au wewe ni wale wale wanaongea bila ushahidi, kazi kuropoka.....
  11. M

    TRA Posts........

    mfa na maji haachi kutapatapa. kama ndo unavyofikiri umekwisha kijana, utawasikilizia wenzako kwa mbali. badilika..
  12. M

    TRA Posts........

    what if akiwa ni mpare,,,,,,,, u will die without make it. Pole sana. my advice is never let any opportunity get away without use it. mie nafahamu watu kibao wenye qualification wanapiga mzigo bila matatizo.
  13. M

    TRA Posts........

    wewe acha kuwakatisha wenzako tamaa. bakia na mawazo yako ya kianalogia, waache wenzako watupe karata zao.
  14. M

    Nafasi za kazi TRA

    wanataka vijana coz majority of present workers wapo karibu kustaafu. pia wanataka kureduce recruitment costs from time to time...
  15. M

    Nafasi za kazi TRA

    acha kuwakatisha wenzako moyo. vijana wenye sifa stahili watapata kazi bila vimemo. hakuna hata mmoja aliyeanza kazi tangu mwaka 2010 bila kufanya process zote.......
  16. M

    Kuna Jambo baadhi yetu hatuelewi kuhusu Kikwete...

    Maskini kikwete, amekuwa miongoni mwa maraisi mabutu na kibogoyo. Hana meno hata kidogo.. Jamaa sijui anawaza nini. Nathubutu kusema anapenda maisha la filamu. Nafiki washauri wake wana nidhamu ya uoga au kichwani mwao hawana kitu. Ndo maana wanashindwa kumpa ushauri.
  17. M

    any update from tra?

    dah!!!!!1
Back
Top Bottom