Search results

  1. A

    Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Asante sana kwa hii thread, nilikuwa nasubiri sana kupata uzi kama huu.yule mama ni special kwa jinsi ambavyo yupo sambamba na his excellency president lowasa.
  2. A

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Bao la mkono litawezekana vipi wakati mtu unachezewa nusu uwanja??
  3. A

    Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Ni upuuzi mkubwa kupita kiasi. Kuna watoto wa madarasa mawili tofauti wanasomea kwenye chumba kimoja, wanakaa chini kwa kukosa madawati, baadhi ya shule zina wawili nk. Waache kutuona mazezeta kama wao.
  4. A

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Tatizo sio waziri fulani hafai, tatizo ni mteuaji. Angekuwa ana nia njema asingewapa kina ghasia uwaziri katika wizara nyeti kama tamisemi...mtu ambaye hata namna yake ya kujenga hoja ni ghasia tupu kama lilivyo jina lake. Pinda mara ngapi amepindisha mambo ikiwa ni pamoja na kuvunja sheria ya...
  5. A

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Nawakumbusha watawala kuwa wenzao waliolewa madaraka walianza hivi hivi na matokeo yake wanayajutia hadi leo. Kawaulizeni kina Gadafi (huko waliko) na wanaosotea mahakamani kama kina Mubarak watawaeleza vizuri. RC wa Arusha taratibu kaka, yakikugeuka hayo matendo yako maovu utaiambia milima...
  6. A

    Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

    Waziri mpumbavu sana huyu. Hakuna lo lote alillofanya. Ni watu waliovimbiwa madaraka. Watu walioleta mabadiliko ya maana hapa duniani hawajivuni, wanaokula na kuvimbiwa tumbo + kichwa kama nchimbi ndio waliojaa majivuno ya kipumbavu kama yeye. Samahani sana kwa kumtukana huyu mheshimiwa, ni mtu...
  7. A

    Tunahitaji Raisi kama huyu kweli?

    Shibuda ni mgonjwa. Chadema wakiacha mambo ya msingi na kushughulika na mgonjwa itapoteza imani tuliyo nayo kwao ya kuchukua nchi wakati wo wote kuanzia sasa. Ugonjwa wa shibuda unaitwa "verbal diarrhoea". Ni ugonjwa unaosababishwa na kukatika kwa mawasiliano kati ya mdomo na ubongo. As it was...
  8. A

    CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde?

    Hata siamini kama huyu taahira ni mbunge tena wa kuchaguliwa. Hotuba ina matusi mwanzo mwisho! Ajabu chama kipo kimya. Haya yachapishwe na kuwekwa kwenye vyombo vya habari ili watu waifahamu zaidi ccm na aina ya viongozi wake.
  9. A

    Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

    Funguka mama funguka, asikutishe mtu! Wamejitia kumwaga ugali mama, usichelewe kumwaga mboga. Mama Nyoni lete raha mama. Watanzania zaidi ya 98% TUNAVUMILIA kuwa watanzania badala ya kujivunia kuwa watanzania. Teremsha data madam, after all you have nothing to lose!! Ni majira kama haya tulikuwa...
  10. A

    Nikiingia Ikulu kesho AGREY MWANRI WAZIRI MKUU

    Mkuu umenena hasa. Mimi huwa siwapendi kabisa watu wa ccm ila mwanri anaonekana wazi ana tofauti kubwa na wana - ccm. Pinda haokoti kitu kwa mwanri. Ni pinda kama kumi hivi ndo utapata mwanri mmoja au twaweza kusema ni kikwete 1,000,000,000,000 ndo utapata dr slaa mmoja.
  11. A

    UK yaichambua Tanzania, yaishangaa na kuibeza, tunaongoza kuombaomba kama nchi zilizokuwa vitani

    Kuna babu alitoa mpya, alisema kwa nini Tz inapinga ushoga kwa maneno wakati kwa vitendo ina-practice...alipotakiwa kueleza akasema unapokuwa omba omba tena kwa mwanaume mwenzako kama UK, USA nk ni dhahiri unafanya ushoga. Ni babu alitoa maoini yake. Rais wa kufikirika wa Tz aliomba apewe kura...
  12. A

    Makala ya Mwandishi wa Raia Mwema na kauli ya Mh. Hamad Rashid na hatma ya CHADEMA

    Mtu ambaye amechoka kama HR hana sababu ya kujadiliwa hapa. Namshauri aanzishe Chama tokea JANA kwani amechelewa sana. Nampa watu 'makini' wa kumsaidia katika chama, hawa ni Kafulia, Zitto, Shibuda. Hicho chama kitatisha sio Tanzania tu bali ulimwengu mzima. Kwenye Uchaguzi mkuu ni lazima...
  13. A

    Mwenyekiti NEC ni Shemeji wa Lowassa - Janga kubwa sana

    CCM hawana mpango wa kuiachia nchi iende mikononi mwa vyama vya msimu. Ushahidi upo wazi. Lubuva amepewa kazi ya kumleta shemejiye magogoni. Ambaye haungi mkono atafute nchi ya kwenda. Vijana, hatima ya taifa chini ya Shetani aitwaye CCM ni giza nene. Haki yetu hatutaiomba. Tuwe tayari kuitafuta...
  14. A

    HAMADI ni mtaji tosha kwa CHADEMA

    Wana JF naomba tuwe makini tafadhali. HR ni zigo la CUF. Kulichukua hilo zigo kama lile jingine linaloitwa Shibuda ni kujitafutia matatizo. Ieleweke kuwa CDM sio ya kusajili 'rejects'! Tunataka viongozi wenye uzalendo wa kweli ambao nchi kwanza ndo kipaumbele na sio pungufu au zaidi. Hawa wote...
  15. A

    Dr. Slaa alitushauri wa-TZ tukampuuza, sasa kulalama kwanini?

    Ewe marehemu ccm, mungu akulaze pabaya pa mateso. Kifo chake kitakuwa furaha ya waungwana wote.
  16. A

    Dr. Slaa alitushauri wa-TZ tukampuuza, sasa kulalama kwanini?

    hatujamchagua. Ni mteule wa nec chini ya makame. Na tusipokuwa makini el atakuwa mteule wa nec ya lubuva as from 2015. Mtu akikufananisha na ccm amekuua kabisa ki-hadhi.
  17. A

    Kibanda ajitoa kamati ya Nchimbi...

    Hongera kaka Kibanda. Vazi la taifa uchuro gani huo? Nchi haina mwelekeo wo wote katika masuala ya msingi; mambo ya mavazi mwachieni Lundenga na biashara yake feki ya kuwatembeza dada zetu uchi!! Simple minds kama za viongozi wa Magamba haziwezi kwenda mbali zaidi ya mavazi.
  18. A

    Picha iliyovunja rekodi kwenye miaka 50 ya Uhuru

    Mnasema UKIMIWI ni janga la kitaifa? Rais wa aina hii ni zaidi ya janga.
Back
Top Bottom