April mapema sana, bado kazi zipo nyingi zimebaki. Vile vile kuna kazi ya kuweka fence njia nzima ambazo bado kuanza then kuna running trials angalau miezi kadhaa. Hii hadi Morogoro kwa maoni yangu itaanza rasmi October November 2021. Order ya mzigo bado kutua Bandari salama nk. Hata hivyo...
Lisu ni bogus tu, hana lolote ataozea Belgium na atarudi kama Kambona alivyofanya, historia huwa inajirudia. Tanzania inasonga mbele haibabaiki na makuwadi wa wazungu.
Mbona umeshakuwa n i Waziri Mkuu wa Tanzania ya kusadikika au hu-pendi? Yule mwenzako amekuwa Rais wa Belgium na tayari ameomba poo maana anaomba maridhiano. Sasa hayo maridhiano ndio yatampa mpunga au ndio ulaghai wa Amsterdam. Watanzania walisikia pimbi wakipiga filimbi na zumari baada ya...
Tanzania ni tajiri, biashara ya kuwa watumwa kwenye nchi yetu iliisha tulipopata uhuru na JPM ameamua kuiondoa nchi hii kwenye utumwa mambo leo. Sasa kama kuna makuwadi wa hizo nchi walifikiria sisi ni shamba la bibi imekula kwao. Hapa kazi tu!
In terms of the US dollar it's about time, its coming to an end. I can see the future in Gold. Just check the price of gold recently climbing from around 1300 per ounce to about 1900. Things are changing and there is a new Sheriff in town.
Move over America: China overtakes US as world's biggest economy (kind of)
Move over America: China overtakes US as world's biggest economy (kind
''China has finally overtaken the USA as the world's biggest economy - at least when the figures are adjusted for Purchasing Power Parity.
According...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.