Search results

  1. Bob Dylan

    Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

    Swali rahisi sana hili, sisi wachaga tunajenga vijijini kwetu, nenda machame, marangu, rombo ushangae mwenyewe. Hapo mjini tumewaachia mtuone maskini, lakini maendeleo makubwa tumeyafanya vijijini kwetu humo. Ukifika lazima ushangae. Hapo mjini tunakujaga kuzuga tu ndio maana tumepaacha hivyo na...
  2. Bob Dylan

    Mtaani kwetu leo nyumba ya kwanza kuna harusi ya mapacha, nyumba inayofuata kuna 40 ya msiba

    Pana 40 halafu alifariki jana usiku ? mkuu mbna hueleweki ?? kama alifariki jana usiku hiyo 40 inatokea wapi sasa ?
  3. Bob Dylan

    Precision Air Sasa Ni Kama Dala Dala?!. Ndege Yasubiri Abiria Uwanjani!.

    Sawa mkuu wewe unauelewa mkubwa wa mambo hayo, wacha nitulie nisitafute njaa bure hapa.
  4. Bob Dylan

    Precision Air Sasa Ni Kama Dala Dala?!. Ndege Yasubiri Abiria Uwanjani!.

    Unaonekana unapanda ndege sana lakini bado unachukulia kwamba ndege ni kitu cha tofauti sana mkuu, kusubiriwa ni kawaida inategemea tu huyo aliesubiriwa ni nani 15 min mbna ni dakika chache sana mkuu mpaka umeandika uzi wote huu na historia ndeefuuu, shusha sukari kidogo na uache kuchafua...
  5. Bob Dylan

    Ukienda sheli usiseme weka full tank unaitwa mwambie hivi

    Sisi wenye vipumbu/vidumu/vigari vidogo watatuibiaje sasa, tank yenyewe full ni lita 35 na siku nikiweka full ninahakikisha nipo hapo mpaka kieleweke
  6. Bob Dylan

    Ukienda sheli usiseme weka full tank unaitwa mwambie hivi

    Hii itakua ni Howo au Scania mkuu
  7. Bob Dylan

    Kuna michepuko ni takataka kabisa

    Wewe tulia na mke wako wacha kuhangaika mzee, maisha hayataki mbwembwe ......... siunaona unavyoteseka sasa kuja kutuletea uzi wa umbea wa kugombana na mchepuko wako, hii ni kwasababu huwezi hata waeleza washkaji wakakuelewa. Chamsingi we tulia tu na mama na utapata baraka mingi balaa
  8. Bob Dylan

    Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Wewe kaa usubiri ifike miaka kumi na mbili halafu ujitwalie, akija unamuambia kua ni yakwako kwasababu muda wote huo hakujitokeza, under adverse possesion unaweza kuimiliki kama miaka kumi na mbili imepita na umekua ukiishi hapo bila ya mwenye eneo kuja kulidai.
  9. Bob Dylan

    DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

    Wamevamia polisi ni haki ya polisi kuwashughulikia, unadhani wangeingia ndani ya kituo na kuchukua silaha za moto si ingekua vita. Mimi nawatetea ndugu zangu askari polisi wamejilinda kwa weledi na kuhakikisha kituo hakiingiliwi na sila haziibiwi.
  10. Bob Dylan

    Dah! Warembo wa mjini, hivi 'vitilapia' nyie huwa hamjisikii?

    Mkuu anamapenzi aisee, ametoka pori na kiraru na ameanza nyonya nyonya
  11. Bob Dylan

    Dah! Warembo wa mjini, hivi 'vitilapia' nyie huwa hamjisikii?

    Mkuu hatakama ulivaa ndom kwaushauri kunywa Azuma tu mapemaa
  12. Bob Dylan

    Usipende kuiga biashara ya matajiri...Kwasababu kinachowatajirisha sio hiyo biashara unayoona!

    Kwani katika matajiri Fred nae ni mmoja wapo ? bado hajawa tajiri bana ...... anahela tu za kubadilisha gari na chakula mkuu.
  13. Bob Dylan

    Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

    Wacha uoga matola, mm naona umeandika hapo DR na PHD nkajua unajua aisee kumbe hamna kitu. picha za mtu anaepiga na magari hivyo ndio inamaanisha anatoa kafara ?? wengine nimadalali aisee kila akiamka andinga mpya anaizungusha anataftia mteja wewe utakaa hapo na umaskini wako na kuwaza wenzio...
  14. Bob Dylan

    Je chumvi huzuia mvua ?

    🤣🤣🤣
  15. Bob Dylan

    Je chumvi huzuia mvua ?

    acha umama, mm nataka nipate elimu kama hujui kaa kimya mkuu
  16. Bob Dylan

    Je chumvi huzuia mvua ?

    wewe wachana na miaka, mimi dhumuni langu ni nijue kama kuna ukweli kwenye hili suala cz mdada aliamini na mvua haikunyesha. sasa labda ni mambo ya kwao huko wanambinu zao ndio nataka nijue
  17. Bob Dylan

    Je chumvi huzuia mvua ?

    Wanajamvi habarini, nimekutana na kisanga kutoka kwa dada wa kazi, yeye ni mzaliwa wa Dodoma na alikuja kufanya kazi nyumbani kwangu hapa Chugastan. Siku moja tumeanika maharage baada ya kuvuna na tukaona kuna dalili za mvua mvua vimanyunyu kwa mbali tukaanza kutapa hofu kwamba mvua inaweza...
  18. Bob Dylan

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Wajinga kama hawa wpo wengi sana mtaani, sasa ulishazaa watoto wanne leo unataka ushauriwe kisa unaliwa na kijana mdogo huu ni upuuzi gani tena jameni. Sema sishangai cz personally nilishakutana na mjinga kama wewe ambaye ni mke wa mtu lakini anadanga kwenye mabar kama mtoto mdogo vile yeye ni...
  19. Bob Dylan

    Waziri Ndumbaro awajibishwe kwa matokeo mabovu Law School

    Mnaopiga mayowe wengi humu itakua mna supp au mmekuwa discontinued, LST ni habari nyingine ngumu lakini lazima profession iwe na njia yakugovern na kupunguza flow ya professionals mtaaani . Waendelee na utaratibu huo huo cz wakiachia mawakili wajae mtaani tayari itakuwa ni pigo kwa taaluma ndio...
  20. Bob Dylan

    Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

    Mkuu n Mkuu ghari ndio kiswahili cha wapi ? Kwa ulivyoandika hii comment yako na hii ghari unaonekana kabisa ulikua backbencher mzee wakati wenzio wanajifunza kutofautisha herufi wewe ulikua unatoa makamasi puani huku ukiyalamba
Back
Top Bottom