Search results

  1. M

    Mathematics

    dogo yuko safi manake akirudi nao hom atakuwa nao kweli saba huyo
  2. M

    Jamani huyu model Jenipher kama kashushwa

    mtotoo wa ukeeeeeeli sana!
  3. M

    Simuelewi upendo huu

    mbwembwe zake tu huyo jirani yako anakuona, anashindwa cha kufanya,mpotezee au mpelekee moto kisela!
  4. M

    Mambo gani unamfanyia mpenzi wako ili asikukimbie?

    mimi nimemfanya aamini mimi ni zaidi ya wote kwani nimeweza kumfikisha pale alipostahili kimapenzi kupitia njia zote za msingi...nimegusa sehemu zake zote za muhimu katika mapenzi yetu hakuna ngeni iliyoyahalali sijaihusisha katika penzi letu!ndomaana hajanikimbia!
  5. M

    Je nilipe kisasi?

    kweli mkubwa alikosea kukutolea maneno machafu na kupewa ujauzito na mtu mwingine sio tatizo pia kwani ni hali ambayo inaweza kumtokea hata mtu wako mwingine wa karibu,cha msingikama una mapenzi nae ya kweli angalia hilo... kama unataka kula mzigo toa fikrani kuwa unamkomoa bali ni mipango...
  6. M

    Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid?

    waswahili wanasema mwanamke figure jamani haswa figure itawaliwe na makalio ya size ya kati yasizidi sana na kusindikizawa na kiulo laini!
Back
Top Bottom