Search results

  1. O

    Ofisi za Uhamiaji Kurasini kulikoni?

    Wadosi wengi ambao ni foreigners hapa kwetu wanaishi kama wafalme kila kitu kizuri wamepewa wao nyumba za upanga asilimia tisini wakazi ni wadosi je nhc walijenga kwa ajili yao au ni kwa ajili yetu watz? wanakwepa kodi ya hatari ktk biashara zao simply becase they can use money to bribe tax...
  2. O

    Ofisi za Uhamiaji Kurasini kulikoni?

    Wajameni hata mkurugenzi wa uhamiaji yafaa achunguzwe kwa undani Mzee S...O mengi yanapita ktk mgongo wake kwa rushwa za wadosi
  3. O

    Ofisi za Uhamiaji Kurasini kulikoni?

    Habarini wandungu, hapa uhamiaji kurasini kitengo cha work permit kuna mama mmoja (MAMA P...E) anatoa sana vibali hovyo kwa kupewa rushwa hasa kwa wenzetu jamii ya waasia kiasi kwamba sasa kila kona wahindi wamejaa na wengine hata qualification hawana, just imagine wanasema ni IT consultant ila...
Back
Top Bottom