Search results

  1. M

    Flora Mbasha achumbiwa, kuolewa tena

    Anazingua tu huyo!!!
  2. M

    Inatisha: Jamaa afadhili wauaji wa mke wake, baadaye akutana na mke wake akiwa hai!!!

    Wanawake ndo mashetani na wakatili balaa. Kuua mwanaume ni kitu cha kawaida. Kuua mtoto wa kambo jambo la kawaida. Ushetani mwingi duniani unaanzia kwa wanawake.
  3. M

    Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

    Ni kweli TTCL ni kiboko..... HALOTEL inafuatia
  4. M

    Godbless Lema kaza moyo, wewe ni Mandela wa Tanzania

    Lema anapigania tumbo lake na familia yake..... Na wewe uliyeandika hii thread nadhani unatokea Kitunda...... Pole sana kwa sababu tunajua kule bado mko kwenye ujima. Ndo sababu hata post yako imefanana hivyo hivyo.... Tafuta kwanza uhuru wa nyumbani kwako.
  5. M

    Kwanini matajiri wa Yanga wamemsusia Manji hadi anateseka na kuaibika hivi?

    Watanzania tuna shida..... Hatujui nini tunataka na nini kifanyike kwa ajili ya taifa letu. Mtu kapelekwa Mahakamani kujibu tuhuma za kutumia madawa ya kulevya..... Matajiri wa Yanga wafanyeje sasa?!! This is very funny!!!
  6. M

    Agizo la Kigwangalla la kukamatwa kwa mashoga lakemewa vikali na Kituo cha Haki za Binadamu Afrika

    Siamini na sitaki kuamini kbs kwamba hawa ma LGBTI persons wameomba kuwa hivyo. Sababu za wao kuwa hivyo ni za kibaolojia zaidi. Mimi siungi mkono matendo yao lakini badala ya kuwakamata na kuwaweka ndani.... Wasaidiwe kivingine. Hawa LGBT Community wana psychological disorders ambazo sasa...
  7. M

    Magufuli afanya ziara ya kushtukiza ujenzi uwanja wa ndege na kukuta kazi zimelala

    Watanzania tufike mahali tuache kushabikia ujinga......... Kisha tuwapongeze viongozi pale wanapofanya kazi na kutimiza wajibu wao. Km wewe ni mmoja wa wahanga pole na punguza munkari.
  8. M

    Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

    Umejuaje kwamba ana dhambi?!! Usihukumu ......... Wewe siyo Mungu!!!!
  9. M

    Kuna madhara kwa mtoto kwa kujamiana na mama anayenyonyesha?

    Kinachobemenda mtoto ni uchafu anaokula kutokana na nyie wafanya mapenzi kipindi km hicho kuwa wachafu kiasi cha kumfanya mtoto aule uchafu. Kiafya na kisayansi mwanamke anaweza kufanya mapenzi baada ya siku arobaini toka ajifingue.
  10. M

    Trump amchagua mkosoaji wake mkubwa katika UN

    Nakuunga mkono, yaani roho zetu ni mbaya mpk zinahitaji sijui sabuni gani ili kuzisafisha ziwe safi na nzuri
  11. M

    RIPOTI: Watanzania huko Uarabuni na India wanafanyishwa biashara ya ngono, hunyimwa paspoti

    They are the worst people ever , I hate them from my heart
  12. M

    Nape ni jasiri wa kisiasa

    Nakuunga mkono
  13. M

    Mgaya wa TUCTA umeshindwa kuwasaidia wafanyakazi miaka yote

    Huyu Mgaya wa TUCTA, inaonekana his thinking capacity is very low!!
  14. M

    Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

    Wanawalipa wafanyakazi wao fixed rate ya Tzs. 400, 000/= kwa wote
  15. M

    Magufui njoo CMA, ucheleweshwaji wa Kesi za Ajira ni tatizo

    Huyo ni jipu, km linajulikana litumbuliwe tuu, maana hakuna namna nyingine
  16. M

    Magufui njoo CMA, ucheleweshwaji wa Kesi za Ajira ni tatizo

    Rais nenda pale c kwa kutumbua, bali kuwajengea uwezo wale vijana, matokeo yataonekana!! Wape fedha za kutosha, wape vitendea kazi, wAPE MOTISHA, budget yao ikipita itoke kwa wakati na waachwe huru km sheria inavyotaka!! Wapewe ofisi zao nje ya idara ya kazi, wapewe salary scale yao, na wapewe...
  17. M

    Magufui njoo CMA, ucheleweshwaji wa Kesi za Ajira ni tatizo

    Ndo sababu walio wengi wanakimbia, wenyewe wanatumua usemi wao, "ni pakavu sana"
Back
Top Bottom