Search results

  1. Mrs ma2mbo

    Leo mpo wapi.....?

    synergy lounge kwa dj jd-the legend is back
  2. Mrs ma2mbo

    Merry Christmass and Happy New Year to all Jf members...

    Christmas hii tumepanga twende Hongkong na beibi wangu..tutainjoije!
  3. Mrs ma2mbo

    Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

    Ata mkizima taa sie twaendelea kunywa..
  4. Mrs ma2mbo

    Taarifa ya habari TBC..Vichekesho vitupu!!!

    sasa utakuta wanamuweka yule jamaa wa habari za biashara Joseph Msami yani wanazuga yuko live wakati anaonekana kabisa karekodiwa,saa zingine utakuta anaongea alafu cd inakwamakwama mpaka aibu.
  5. Mrs ma2mbo

    Mama mkwe tatizo

    kamtengeneze uyo mkwe asikuharibie mambo yako..acha kuzubaa.
  6. Mrs ma2mbo

    shambulio la ngono vs kubaka...

    ili neno sio geni,linatumiwa ata na wanahabari.
  7. Mrs ma2mbo

    Taarifa ya habari TBC..Vichekesho vitupu!!!

    yani nimeangalia taharifa ya habari tbc leo,ilikuwa ni vichekesho vitupu. Watangazaji wanaruhusu picha za habari zilizosomwa,matokeo yake camera zinabaki kuwamulika wao,picha yenyewe haiji basi wanabaki kukenua meno tu,tabasamu la uzuni ndio linapamba sura zao.. Hii kitu imekuwa...
  8. Mrs ma2mbo

    shambulio la ngono vs kubaka...

    wapo sana,utakuta jitu linakuita guest.we unaenda ukijua mtapiga stori tu,mara unashangaa linaanza kukushikashika,ukilikataza ndio linakufanya kwa mabavu.
  9. Mrs ma2mbo

    Wapi bujibuji ?

    upo darasa la ngapi wewe?
  10. Mrs ma2mbo

    shambulio la ngono vs kubaka...

    kwaio linakuwa shambulio la ngono?
  11. Mrs ma2mbo

    Dr. Ndodi ni mtu wa Maslahi zaidi au Tapeli?

    majukumu tu shosti..ila nipo nimejaa tele.
  12. Mrs ma2mbo

    shambulio la ngono vs kubaka...

    je akilidhia alafu baadae akachoka alafu we ukaendelea kukandamiza bila ridhaa yake, utakuwa umebaka?
  13. Mrs ma2mbo

    shambulio la ngono vs kubaka...

    eti jamani kuna tofauti gani kati ya shambulio la ngono na kubaka??
  14. Mrs ma2mbo

    Dr. Ndodi ni mtu wa Maslahi zaidi au Tapeli?

    misheni town wa ukweri..
  15. Mrs ma2mbo

    January Makamba kiongozi mwenye uzalendo licha ya kuwepo CCM

    labda ujaelewa swali Ustaadh. nimeuliza KWA NINI? wanaCCM ata Cuf pia mnampenda sana Zito.kwa nini/kwa sababu gani?
  16. Mrs ma2mbo

    January Makamba kiongozi mwenye uzalendo licha ya kuwepo CCM

    kwa nini wanaCCM mnampenda sana Zitto?
  17. Mrs ma2mbo

    Maendeleo ya mimba ya Jide

    Kama ameipata kwa uwezo wa roho mtakatifu labda!
  18. Mrs ma2mbo

    Mhe. Kabwe Zitto Live ndani ya Jahazi la Clouds FM!.

    Kwa nini Zitto anapendwa sana na watu wa CCM na Cuf???
  19. Mrs ma2mbo

    Kondoms, blueband na baadhi ya bidhaa ni mbovu - Zitto

    umeona sasa alivyo mnafiki uyu muhutu..kila siku kukimbilia kwenye media kulialia eti anaonewa..ivi anajionaje uyu mnafiki!?na anataka watu wamsifie tu akiwa kama nani.
Back
Top Bottom