CHADEMA ilisajiliwarasmi mwezi January 1993 na tokea wakati huo imeongozwa na wenyeviti wa taifawawili na aliyepo kwa sasa ni wa tatu. Mzee Edwin Mtei aliongoza kwa miaka mitano tangu mwaka 1993 hadi 1998 na kumwachia Mzee Bob Makani ambaye naye aliongoza kwa miaka mitano hadi mwanzonimwa 2004...
Uzuri ni kwamba wale viongozi wa chama mikoani, mawilayani, majimboni, wananielewa vizuri ninayoyaongea. Hawa walevi wanaoniita mamluki hawajawahi kuwa hata makatibu kata wa chama. Ndiyo maana sihangaiki kujibizana nao! Watu kama Tumaini Makene, ofisa habari wa chama badala ya kueleza jinsi...
Kufuatia malumbano yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na madhaifu mengi ambayo tumeshayashuhudia kwenye chama kwa sasa, natoa wito kwa wana CHADEMA wote nchini kwamba wakati umefika tubadilishe uongozi wa juu wa chama.
Kihistoria, CHADEMA kati ya mwaka 2005 na 2010, agenda zetu kwa...
Kama nilivyoahidi dakika chache zilizopita, naomba kuweka hapa mtandaoni barua ya kufukuzwa uanachama wa BAVICHA Bi. Juliana Shonza aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. Na kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA akishafukuzwa uanchama wa Baraza la vijana anapoteza pia uanachama wa chama.
Lyimo,
Ni kweli kwamba Juliana amejitahidi sana kukwepa kupewa barua yake. Hata jana kapigiwa simu akadai yuko Mbeya na anatarajia kurudi baada ya siku 3 halafu kafanya press conference hapa hapa Dar es salaam. Afisa Mwandamizi wa Chama Makao Makuu ndugu Hemed Sabula, kamfuata leo mbele ya...
Majira ya saa 10 jioni nilikuwa nimesimama karibu na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Arusha. Alikuwepo Mwenyekiti wa mkoa Samson Mwigamba, Katibu wake Amani Golugwa, Mratibu wa Vijana Mkoa Ephata Nanyaro na Mratibu wa Wanawake Cecilian Ndossi. Nakumbuka Mwenyekiti wao alimpigia RPC simu na baadaye...
Hawezi kuapa tena maana hukumu ya mahakama ya rufaa inatengua hukumu ya mahakama kuu. Kitakachotokea ni Lema kurudi bungeni bila kuapa tena na kulipwa mishahara yake yote. Ni sawa na mtu aliyesimamishwa kazi halafu baadaye akaja kugundulika kwamba hakuwa na hatia. haajiriwi upya bali hurudi...
Wadau,
Nadhani Mungu yupo nasi. Kwa muda kiasi CCM wameiweka CHADEMA kwenye migogoro ya kipuuzi kwa kuwatumia vijana kadhaa waliowanunua na hatimaye kujaribu kuisumbua CHADEMA kwa migogoro ya kipuuzi.
Hatimaye mjadala sasa umegeuka umekuwa ni ushindi wa Lema. Huku Arusha watu wanaandamana...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha ni mmoja tu anaitwa Samson Mwigamba naye ni huyu hapa nimeattach picha yake. Huyo mwingine mhuni tu anatafuta kupata chakula CCM.
Mnyika amesema mambo matatu yaliyotufikisha hapa: Udhaifu wa Rais Kikwete, Uzembe wa wabunge na Upuuzi wa CCM. I Yote ni ya kweli na kweli tupu. I conquer with him. Wameamua kushikilia hilo la udhaifu wa Kikwete maana limewagusa zaidi. Lakini si tusi wala si lugha ya kuudhi. Wao CCM wamewatukana...
Tokea CHADEMA ianzishwe imeshaongozwa na makatibu wakuu watatu. Wa kwanza ni Bob Nyanga Mohamed Makani (shinyanga) wakati Mwenyekiti akiwa Mzee Edwin Mtei, wa pili ni Aman Walid Kabourou (Kigoma) wakati Mwenyekiti akiwa Bob Makani na wa tatu ni Dr. Willibrod Peter Slaa (Arusha) Wakati Freeman...
Niko Arusha na kila siku niko mjini. Tuambie hiyo mikutano mmefanya viwanja gani na siku gani na muda gani. Sijawahi kusikia CUF wakiwa na mikutano ya hadhara hapa mjini Arusha tangu nimekuja hapa 2001 isipokuwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa kama mwaka huu ni wa uchaguzi mkuu hapa...
Kwa wasiojua hizi nyaraka Mbowe aliziandika baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 kwenye gazeti la Tanzania Daima na ndiyo maana anazungumzia ugombea kwani wakati huo ni yeye aligombea urais. Aliyeleta thread hii labda alinuia tu kutukumbusha ya huko nyuma. Si waraka wa leo wala jana. Angeuandika...
Angalia orodha hii hapa chini halafu utueleze huo ukanda uko wapi:
ORODHA YA VIONGOZI MAKAO MAKUU YA CHADEMA:
VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA:
S/N
JINA LA KIONGOZI
WADHIFA
KABILA
ANAKOTOKA
1.
Freeman Aikael Mbowe...
Natazama huu mchanganuo halafu utuonyeshe asilimia 90 ya wachaga iko wapi:
ORODHA YA VIONGOZI MAKAO MAKUU YA CHADEMA:
VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA:
S/N
JINA LA KIONGOZI
WADHIFA
KABILA
ANAKOTOKA
1.
Freeman Aikael Mbowe
Mwenyekiti Taifa
Mchaga
Hai -...
Swa la hapa lisiwe umri kwa kuwa Katiba mpya inaweza kuushusha kutoka miaka 40 hadi 30 ama 35. Suala hapa tuchukulie kama katiba itakuwa inamruhusu na akaamua kugombea. Napingana na yule aliyesema Zitto hana akili ya kuwa rais eti urais unataka busara. Ina maana Zitto hana busara? Mimi nasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.