Kma unajifunza komaa.. nadhani nitakuwa nimemaliza hapo mambo mengi mie sielewi nnachojua am living my life fresh 2 and it doesn’t matter nimeajiriwa au nimejiajiri..[emoji16][emoji16]
Kujifunza programming ww mwenyewe mbona safi 2 sio shida na nimovement saafi kabisa utazikamua system,apps vizuri mno sometimes better than aliyekaa darasani ila ukiwa na basic ya CS itakusaidia kuondoa sm limitation kwenye kazi zako
Naona una interprete unavyotaka ww . Km ww unadhani kujua programming nakuwa computer scientists ni sawa then u better go back 2 xcul
Kugundua kitu sio sawa na hii topic hapa na ww ndio uneshikilia utadhani upo on point
Narudia tena. Kujua syntax za language yoyote still utapata changamoto...
Kuwa programmer hauhitaji degree ila kuwa Computer Scientist hapo unaihitaji elimu ya chuo... maana jiaminishe unavyotaka ila the man behind compiler cdhani kma alikimbia shule... huwezi ukatengeneza your own language kma ulikimbia college
sad news.. TCRA wanadhani mafundi wote ni darasa la saba or form 4.. unakuta anayekufundisha umempita hata hyo elimu au upo naye sawa mpaka experience..DIT unarudi kusoma ufundi simu wanakufundisha basic electronics kwq m2 ambaye ameenda chuo ni holder wa diploma or degree unamrudisha kwenye...
imani yako ndio tatizo mzee.... unaamini kuwa na division 1 ndio kufanikiwa maisha...ni vizuri m2 ku score high mark kwakweli inapendeza.... kikubwa mfumo wa division sio mbaya kwakuwa ndio umeuzoea.. ila ss vyuo vinaendana na mambo ya dunia.. incase unaenda kusoma nje.. wanajua una...
hehe mm ckuenda chuo kutafuta GPA afu kwa bahati nzuri ss cjapata hyo lower second ilikuwa mfano 2... ila nlichofata chuo nimekipata... na nashkuru maisha yanasogea.... na hata ningepata pass maisha yangeendelea vile vile... narudia tena usi force gpa standard ziwe kma division hii ni shida...
GPA ni international standard ya elimu ya juu... hayo mambo ya division ni local.... ww una force waweke division kwenye elimu ya kimataifa una force 2... kiufupi wakiweka gpa inakuwa inajulikana popote wana deal na m2 wa level gani... ss hawawezi kubadili mfumo kwa faida ya wa2 wachache... kma...
unaweza weka custom rom maisha yakaenda vizuri 2 au kuna hizi note 5 za korea ambazo model zake zinaishia K/L/S huwa ukirudishia stock rom yake... ussd inafanya kazi vzr 2
Kma halitoajiri watu wamaana haliwezi kuwa productive kamwe... ajira kada zengine ni muhimu kwakuwa hizo kada zengine pia zinamapungufu ndio maana halipo productive... jeshi linapaswa liwe na project kubwa ukiachana na kulinda amani 2... hizo project zinaendeshwa na wataalamu sio wafuta vumbi...
Kma hakuna mfumo wa ambao uta provide API ambayo developer wata intergrate kwenye system zao ili malipo yafanyike kwakupitia system zao za hela, naona hii feature wanaikimbia sana..... 10yrs hii kitu hawaioni.... naswala laku allow paypay ku receive money hili jambo cjui kwann linapuuziwa..
Utumishi wanaweza chukua maamuzi yoyote... kma wanaweza kuita wa2 857 kwa kazi ya nafasi 2 za ict pale mwimbili,sembuse kuchukua maamuzi yakukuacha... jipange uombe kz zijazo
Hehe mzee kuitwa kwenye interview sio.kma ndio umepata kazi.... unaweza ukawa na profile iliyokamilika ila barua yako haikukamilika... mwisho wasiku utumishi nao wa2 vile vile..,na mm nakuahidi kawaida ya taasisi kma utumishi... utaambiwa ulikosea 2 hawatotaka kujishusha... anyway gudluck
Shida ipo pale pale... unatafuta walimu wa tanzania waliosoma kenya alafu walimu hao hao.. wanakuja kufundisha kwa syllabus ya tanzania.... mwenye shule atakuwa mgonjwa kidogo... na elimu ndio hii hii shida yetu ni exposer ndogo...,kenya na tz ni yale yale 2,uzuri wakusoma nje ya africa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.