Search results

  1. D

    Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

    Mwacheni mzee wa watu ajipumzikie baada ya miaka mingi iliyojaa misukosuko....!
  2. D

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Chadema wameshinda jimbo la Buyungu- Kakonko (Kigoma) kupitia mgombea wake Bilago Samson na kumpumzisha kwa amai Waziri wa JK Christopher Chiza... Source Azam 2 breaking news...
  3. D

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ubinafsi wa zitto huo kuwafitini wenzake ,alitaka akawe jogoo la kigoma
  4. D

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Zitto alitaka awe mfalme wa kigoma ... haya sasa atabakia peke yake kama mrema bungeni
  5. D

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    ubinafsi wa zitto umeinufaisha ccm ... zitto akafurahie sasa ....
  6. D

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Hapa ndipo wanapotufikisha hawa wanafiki! Kiukweli nikuambie tu maisha popote, kama hakuna upande uatachukuliwa hatua katika kipindi hiki ni bora kukaa pembeni. Binafsi sioni sababu ya kumshambualia Zitto zaidi ya unafiki usio na ushahidi unaoelekea kuungwa mkono na viongozi waandamizi wa chama...
  7. D

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Sijui kwa nini haya yanatokea sasa! ni ukweli usiofichika shambulio hili dhaifu kutoka kwa mtu asiyefkri vyema linamjenga sana Zitto kuliko kumchafua. Zitto anaweza kutoa ushahidi hapokei posho, sina uhakaka kama mbunge wangu Lema atakuwa na ushahidi za shutuma anazozitoa mbele ya umma. lakini...
  8. D

    Msaada: mambo ya nokia lumia 610

    Wadau nashindwa kudownload files kwa device yangu hata kuingiza opera browser imekataa. Kila nikjaribu napata ujumbe "can't download windows, phone doesn't support this file type" kwa yeyote mwenye uelewa anisaidie tafadhali!
  9. D

    Mishahara serikalini!!

    kama huo ndio ukweli kuna sababu ya hao watu kugoma na wewe uwaunge mkono! kuna sababu gani ya watumishi wenye kiwango sawa cha elimu kulipwa mishahara tofauti? kama baadhi ya kada ni bora kuliko zingne ni vyema watu waambiwe wazi wasisomeshe watoto wao kada kama za elimu, hii inauma sana kwani...
  10. D

    Mishahara serikalini!!

    Ahsante kwa ushauri, nitajaribu!
  11. D

    Mishahara serikalini!!

    yalikuwa mawazo ya mtu hivyo kama una reliable source nifahamishe.
  12. D

    Mishahara serikalini!!

    kama ua access na hazina nifahamishe mkuu hii ndo maana ya jukwaa.
  13. D

    Mishahara serikalini!!

    nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti? Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu? CHETI mwalimu 244,400 afya 472,000 kilimo/mifugo 959,400 ... sheria 630,000 DIPLOMA mwalimu 325,700 afya 682,000...
  14. D

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Walikutukana wewe pamoja na makamanda wote wa cdm lakini adhabu tumetoa sisi wananchi na sasa una amani ya maisha na mungu atazidi kukubariki. Hakuna haja ya kujibizana na mjinga nawe utaonekaa mjinga. Wakilisha tulichokutuma mjengoni, achana na siasa za majitaka za wachovu wa kufikri kama Anne...
  15. D

    Shukrani: nimefurahishwa na polisi walivyo shughulikia zomeazomea Tengeru.

    ni aibu kwa sababu ishara hyo ilikuwa inaoneshwa hata na waliokuwa kwenye mashangingi! Ukweli ccm wametuchoka wananchi,
  16. D

    Shukrani: nimefurahishwa na polisi walivyo shughulikia zomeazomea Tengeru.

    Tukiendelea hivi hakika hakuna uvunjifu wa amani utakaotokea. Pamoja na jam kubwa iliyotokea kutokana msafara wa mafisadi pale tengeru ikiwa imepambwa na zomeazomea iliyofanya magamba kutoa mikono yao wakiwaonesha vidole vya kati wananchi wao. Ukweli polisi hawakufanya ubabe wao na badala yake...
  17. D

    Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

    Mkuu inaelekea jamaa wakali kwa wake zao mpaka asa hv haujapata wa kuzn naye. Kuna hoja nyng znatolewa lakn hujibu, ya uzinzi imekugusa sana mkuu. Fanya mambo yako ya ajabu unayofanya iramba tafuta wanaume wanne mlale.
  18. D

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Mtakatifu Nyerere uliombee Taifa la Tanzania kwani wayaona yote yanayotokea na kama waona kuna ombwe la uongozi utuombee kwa mungu atusaidie kulikomboa taifa 2015. Amina!
  19. D

    Msaada; wanajamvi nisaidieni kujua aliko Jerry Muro

    Nishuhudia kazi nzuri inayofanywa na Sam Maela wa ITV, nimekumbuka Jerry na habari zake za uchunguzi. Kwa anayefahamu anijuze aliko na kama aliendelea na mkataba wake TBC.
Back
Top Bottom