Search results

  1. T

    Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

    Hivi Lema hastahili kuugua kama binadamu wengine? hii mikono ya watu inatoka wapi? Get well soon.
  2. T

    CHADEMA, Mwaka 2011 ulikuwa wa ukombozi lakini...............

    Kama ingekuwa ni mpira wa miguu, basi tungesema CDM walikosa nafasi nyingi za kufunga kuliko CCM, kibaya zaidi nyingi zilikuwa penati lakini wapigaji wakapaisha mipira au wakampasia kipa badala ya kufunga. Nafasi kama hizi ni nadra sana kujirudia. hakika CDM mtaujutia mwaka 2011.
  3. T

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Soma signature yangu hapo chini, JK kasimama mwenyewe golini lakini CDM mnapewa penati kila kukicha lakini mnashindwa kufunga magoli, nani alaumiwe yule aliyeko golini au nyie mnaokosa magoli ya penati. Chukueni hatua kama mnaona hafai siyo kulalamika kwenye keyboards
  4. T

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Kwani hao wananchi wamechukua hatua gani zaidi ya kumtukana? wakiambiwa waandamane hawatoki wanaogopa mabomu, wengine wanabaki kuchezea keyboard zao na matusi kibao. kwa nini msiige Misri, Tunisia na Libya?
  5. T

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Fikiria angekuwa Mwalimu Julius Nyerere, watu wampande mpaka Kichwani kama wanavyofanya kwa JK, angalau Mwinyi kidogo mngemchokonyoa angevumilia, lakini Mzee BM thubutu. JK anaongoza nchi ikiwa na upinzani uliokomaa angalau kwa kiasi kikubwa kuliko pale mwanzo kwa sababu ya CDM kujaza wasomi...
  6. T

    Ni Halali Watoto wa Nje ya Ndoa Kuwaita WANAHARAMU???

    Hakuna mtoto wa haramu wala mtoto wa nje, wote watoto halali. haramu ni wale walioamua kuruhusu ushoga
  7. T

    Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

    Ushaanza, maana ukisikia Regia Mtema unataka kulianzisha kama wakati uleeee. leave her alone please.
  8. T

    Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

    Na wao wame play part gani kuhakikisha kwamba mafisadi wanawatenga kwenye makanisa yao? hii inawahusu pia Masheikh
  9. T

    Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

    CDM wabunge wa shoka wanawake hawazidi watano wengine wote walipata ubunge wao kwa vimemo na mashinikizo. Nawataja, Regia, Halima, Rose Kamili, Lucy Kiwanga na mmoja nimemsahau.
  10. T

    Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

    Ungalijua ninachomaanisha usingeandika ulichoandika. Je Lowasa ni muislamu? Je kanisa kumpatia utukufu huku nchi nzima akituhumiwa ufisadi ni sahihi? au kanisa nalo liko kwa ajili ya matajiri na mafisadi kama Lowasa?
  11. T

    CHADEMA Sumbawanga Mjini yakanusha upotoshaji uliofanywa na Stella Manyanya na CCM mkoa wa Rukwa

    Kwa kumwangalia tu, unajua jamaa tapeli. sijui kwa nini Eng. Manyanya hakulitambua hilo.
  12. T

    Kafulila kuendelea na ubunge

    So, hutaki aendelee kuwa Mbunge? wewe lazima u mmoja wa kina LEMA
  13. T

    Lema mwanasiasa Bora wa Mwaka 2011

    Mkuu Luteni, Tatizo ni huo muda wa kumobilize watu utatoka wapi kama hatumalizi huu mgogoro? miaka minne iliyobaki inakimbia kama, haitusubiri. na kama ukifikiri kwa umakini, hiyo ni janja ya CCM ili wapate nyundo ya kuwatwangia 2015. Malizeni huu mgogoro ili mpate muda wa kumobilize wananchi...
  14. T

    Lema mwanasiasa Bora wa Mwaka 2011

    Watakuchagua tu kama watakuelewa, isije ikaja semwa ya Heri ya Misri kuliko kuishi hapa Jangwani. angalizo tu mkuu, wananchi wa huku kwetu Maganjo wanasema hapendwi mbunge bali maendeleo.
  15. T

    Rafiki yangu amekufa kwa ukimwi

    Tutapona tu pale dawa ya uzima ikipatikana ili tuishi milele.
  16. T

    Lema mwanasiasa Bora wa Mwaka 2011

    Naomba kueleweshwa, ina maana huu mgogoro wa umeya ukidumu kwa miaka mingine 4 ndo kusema ahadi nyingi za mbunge hazitatekelezwa? Nadiriki kusadiki kwamba wakati huku CDM wakiendekeza mgogoro huku wakisusia vikao vya madiwani, wenzao kule wanatekeleza ahadi zao kwenye kata zao. sijui CDM...
  17. T

    Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

    Badala ya kuwatenga huwatukuza na kuwawekea viti vya mbele kwenye makanisa yao, huwaalika kwenye harembee zao na wengine hata kufikia hatua ya kuwasafisha hadaharani. Ingalikuwa bora kama wangaliwafukuza au kuwatenga makanisani kwao kwanza ili wapate uhalali wa kuisema serikali vibaya juu ya...
  18. T

    Tahadhari: Mafuriko makubwa kutokea Tanzania

    Halafu watu wengine wanatutakia heri ya xmas na mwaka mpya, hivi kweli tuko na heri huku mnajua tumetaabika, tumepoteza ndugu na mali zetu na bado chamtema kuni tunakisubiria usiku huu. mlipima viwanja mwaka uleee kwa kisingizio chetu, mkagawiana wenyewe, leo mnakuja tena na hadithi ile ile eti...
  19. T

    Knock Knock

    Bora nilale wima kwa mwali, siku hizi mabalozi hawaaminiki hawa, watanitaka rushwa hawa na UCCM wao.
Back
Top Bottom